Bunge kutooneshwa live kwenye TV, kisa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge kutooneshwa live kwenye TV, kisa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANA WA DAUDI, Aug 18, 2011.

1. M

MWANA WA DAUDI Member

#1
Aug 18, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 46
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wadau,

Leo nimesoma makala kurasa za mwisho mwisho ktk gazeti la Rai la wiki iliypita ( siyo la jana) kuwa kuna mjadala wa kichini chini kwamba bunge lisioneshwa live ili kupunguza aibu ya serikali inayotokana na wapinzani haswa CHADEMA. Ieleweke kuwa mwandishi wa makala naye ameliweka kama tetesi.

Mwandishi amejenga hoja ktk mfumo wa uandishi wa kichokonozi. Wengine wanaweza kuisoma gazeti hilo. Hizi tetesi ningezikuta ktk gazeti jingine nisingezileta humu Jf. Rai naiheshimu sana.

Fufununu hizi zinakuja wiki chache baada ya mbunge wa CCM kuonesha nia ya kutaka kupeleka hoja binafsi bungeni ili kuondoa maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu kwamba hayana tija.

Nawasilisha.

2. t

takeurabu JF-Expert Member

#2
Aug 18, 2011
Joined: Jul 23, 2011
Messages: 255
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
hii sasa kali!

3. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#3
Aug 18, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Gossip..

4. ELNIN0

ELNIN0 JF-Expert Member

#4
Aug 18, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 3,771
Likes Received: 221
Trophy Points: 160
uamuzi wa Rostam ni sahihi...

5. Mufiyakicheko

Mufiyakicheko JF-Expert Member

#5
Aug 18, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 893
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

nikawaida ya magamba redio tbc ilisha chakachuliwa sasa wame hamia tv nayo wanataka kuchakachuwa mimi siwaraum nawaraum watanzania nikiwemo na mimi serikali yetu bira maandamano haindi tv na redio vinaendeswa kwa kodi zetu iweje tunyimwe talifa katiba nayo imeweka wazi juu ya kupewa habali tukiingia barabarani watarusha raivu

6. Henge

Henge JF-Expert Member

#6
Aug 18, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 6,765
Likes Received: 78
Trophy Points: 145
WAKIFANYA HIVYO BASI MASABULI YAO YATAKUWA YANAFANYA KAZI SANA! b

7. pangalashaba

pangalashaba JF-Expert Member

#7
Aug 18, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 1,088
Likes Received: 883
Trophy Points: 280
magamba sio wa mchezo,wanaweza wakafanya hivyo...

8. myhem

myhem JF-Expert Member

#8
Aug 18, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 932
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
hizo ni tetesi tu usiumize kichwa

9. Ngongo

Ngongo JF-Expert Member

#9
Aug 18, 2011
Joined: Sep 20, 2008
Messages: 12,155
Likes Received: 3,634
Trophy Points: 280
Mkuu Mwana wa Daud.

Rai lilipoteza heshima siku Rostam alipolinunua unaposema unaliheshimu sana Rai napata wasi wasi wa ufahamu wako.Inawezekana Rai likarejea kwenye mstari baada ya Rostam kukosana na viongozi wa magamba.

Uwezekano wa kusitisha bunge kutoonyeshwa live ni mkubwa si lazima Rai wakustue unatakiwa kutumia akili ya kawaida kabisa wabunge wa magamba wamepwaya sana wapo wanaojitahidi lakini huwezi kuwalinganisha na wabunge wa magwanda wapo juu sana.Binafsi nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa CDM hasa Mheshimiwa John Mnyika,Halima Mdee na T Lissu.

Vikao vya wabunge wa CCM mara nyingi vinalenga kusaidia uoza wa serekali,bunge linapoonyeshwa live huku wabunge wa CCM tayari wamefungwa kofuli la kichama maana yake wanajiwekea mtihani mkubwa kwa wananchi waliowachagua huku wenzao wakitumia fursa hiyo kujipambanua na kujiwekea hazina kubwa kwa wananchi/wapiga kura.

10. M

Mjenda Chilo JF-Expert Member

#10
Aug 18, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 1,425
Likes Received: 63
Trophy Points: 145
Ingewezekana hapo nyuma lakini kwa sasa hawawezi kwasababu hata magamba wenyewe wapo wanotaka Serikali iendelee kugalagazwa. HAWAWEZI maana yake mimi, wewe tunasema hawataweza. TBC ni yetu na hizo habari ni zetu. HAWAWEZI kama wanabisha waambie waanze hata sasa hivi usikie impact yake.

11. DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

#11
Aug 18, 2011
Joined: Nov 13, 2009
Messages: 11,635
Likes Received: 4,743
Trophy Points: 280
Kwa watu ambao akili zao zimechanganyika na haja kubwa kutokana na kufikiri kwa kutumia makalio hilo linawezekana kabisa, si unajua mfa maji haachi kutapatapa hata akiona jani atalishika akiamini kuwa linaweza kumuokoa.

12. Chakaza

Chakaza JF-Expert Member

#12
Aug 18, 2011
Joined: Mar 10, 2007
Messages: 23,668
Likes Received: 21,901
Trophy Points: 280
Wamesahau kuwa mficha uchi hazai?

13. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#13
Aug 18, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Itasaidia kurudisha heshima ya bunge.

14. Kaunga

Kaunga JF-Expert Member

#14
Aug 18, 2011
Joined: Nov 28, 2010
Messages: 12,591
Likes Received: 797
Trophy Points: 280

Kati ya chumbani na kwenye veranda wapi kuna heshima?

15. m

mfngalo Member

#15
Aug 18, 2011
Joined: Aug 13, 2011
Messages: 87
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

umeongea kwel ma bro hyo mwita anaweza sema kwenye varanda coz anafikiria kwa ku2mia makalio

16. Sooth

Sooth JF-Expert Member

#16
Aug 18, 2011
Joined: Apr 27, 2009
Messages: 3,773
Likes Received: 4,496
Trophy Points: 280
Watakuwa wamechemsha, maana hata kwenye vikao vya juu vya CCM (CC,NEC) huwa hakuna live broadcast lakini bado watu wanapata taarifa za kikao minute-by-minute!

17. S

SEAL Team 6 JF-Expert Member

#17
Aug 18, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 655
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wakati mwingine siyo za kupuuzia yaweza kuwa kweli.

18. Barubaru

Barubaru JF-Expert Member

#18
Aug 18, 2011
Joined: Apr 6, 2009
Messages: 7,162
Likes Received: 29
Trophy Points: 0
wewe una wasi wasi gani?

19. Mamndenyi

Mamndenyi JF-Expert Member

#19
Aug 18, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 29,108
Likes Received: 6,581
Trophy Points: 280
asante sana mh. meya dr. d. masaburi. kauli yako idumu.

20. SILENT WHISPER

SILENT WHISPER JF-Expert Member

#20
Aug 18, 2011
Joined: Jun 26, 2009
Messages: 2,231
Likes Received: 53
Trophy Points: 145
wakifanya hivyo ni kweli watakuwa wanatumia MAKALIO BIN ****** kufikiria badala ya brain.

Loading...