Kada wa CCM Shy-Rose Bhanji: JK umetuangusha, nchi sasa inayumba bila uongozi imara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kada wa CCM Shy-Rose Bhanji: JK umetuangusha, nchi sasa inayumba bila uongozi imara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RICH-MONDULI, Aug 15, 2011.

 1. R

  RICH-MONDULI New Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shy-rose Bhanji, yule kada maarufu wa CCM aliyesimama kwenye mkutano wa UVCCM na kumwambia aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, kuwa ameshindwa kukiongoza chama, sasa ameamua kumtolea uvivu MWenyekiti wa taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, na kumwambia wazi kuwa sasa nchi imemshinda. Hii inaonesha jinsi JK anavyopwaya kama kiongozi mpaka makada wa chama wameamua kujitokeza hadharani na kusema ukweli.

  Ufuatao ni mjadala ambao Shy-Rose ameuanzisha kwenye Facebook kuhusu tatizo la uongozi Tanzania na mwelekeo mbaya wa taifa letu:
  [​IMG]

  [h=6]Shy-Rose Bhanji
  Dear Mr. President HE Jakaya Kikwete: In 2005 we gave you a victory of over 80% because we had high expectations of your performance. By 2010 your popularity had slipped to just over 60% and it seems your popularity is taking a further deep due to various reasons, including vacuum on the leadership direction…as a CCM cadre and a passionate citizen, I feel a sense of big letdown after some seven years of your leadership. What answers do you offer in order to put to rest your peoples outcries?.[/h]Friday at 11:58am ·LikeUnlike ·
  • Sarah-Nicole Chisela Nkhata, Anthony Shirima, Anna-claire Shija and 117 others like this.
  • 50 of 156

   • [​IMG]


    Ruppy Karenston i wonder kama jk anayo majibu yako shy,nasikia nchi yetu inaitwa tanzagiza mara tanzafuta,haya mwenye nchi hata sina uhakika kama yupo au keshapaa tena Friday at 8:13pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Juma Charles And u too ! Friday at 8:14pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Stevejunior Chaula labda apewe mind ya slaa,zitto yote atatimiza,,,yeyre Friday at 8:24pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Ahmed Ambakisye ata akipewa za wote haitosaidia ni sawa na kumueke headphone kiziwi. Friday at 8:48pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Jemmy Bull SHY-ROSE I SALUT U DEARLY GO ON SWEETIE GO ON QUEEN! ISHALLAH MY LORD WILL PROTECTAND PAY U TODAY AND TOMMOROW KIAMA! WHY U CAME NOW WE NEEDED U EVEN THEN. ANYROADS U'R HIRE AND WE LOVE U! Friday at 8:53pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Jimmy Jeam Katinda daaaaa! i got you sissy Friday at 10:11pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Seif Makome Ooops!! umeona mbali!!!! that's why ni mwana harakati wa kweli. Friday at 11:15pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Gango Kidera Naamini wasingechakachua kura za maoni,tungefaidi xana sana busara zako!!Tunakutegemea xana !!! Friday at 11:21pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Joseph Pongu THIS IS HOW R LEADER IS SUPPOSED TO THINK N TELL FROM THE HEART,CONGRATULATION FOR TRUTH,NOW I BELIEVE U ALWAYS DO UR BEST,NOT COS UR CHALLENGED UR CHAIRPERSON,BUT COS U WROTE THE EXPRESSION OF ALL TANZANIAN.KEEP IT UP Saturday at 12:47am · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Mussa Unico Shy-r ur real woman 4 dis and ur brain act mor dan machine. I love u c6 Saturday at 1:08am · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Isaya Adrian Big up shy ua a real warrior of our cntry 4 ze benefit our cntry who is dat mad ENGLA disapoint u? Saturday at 1:56am · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Gabby Boniphace Hey shy-rose I received a Dell XPS 1530 laptop today for nothing! I think they are only sending out a limited supply of promo laptops in each area, its actually very nice :) I got it from here acfw.info Saturday at 2:42am · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Mbega Mbwana Heeh!!! Kumbe Shy kichwa sana nilikuwa sijakushtukia. Saturday at 5:32am · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]


    Ronalld Ngalai Ccm in coming election 2015, the percentage will range between 25% to about 35%. Let waite and see! Saturday at 6:14am · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Shy-Rose Bhanji ‎@wote thanks for your support..hii nchi ni yetu sote pale mkuu wa nchi anapokosea lazima tumweleze ukweli..nimefurahi wengi tuko kwenye mtazamo mmoja..nimefurahi zaidi siko peke yangu... Saturday at 11:40am · LikeUnlike · 7 peopleLoading...

   • [​IMG]


    Anthony Shirima per example cadre, wengine mtafuata. Saturday at 11:49am · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Zuhura Hussein kaka ulivyokuwa mtoto ulikuwa mzuri nambie Saturday at 12:23pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Bimbona Kyamani Siasa ni mchezo mchafu...Matatizo ya nchi hii ni mengi.tunahitaji suluhisho.lakini matatizo yetu yasitumiwe kwa maslahi ya kundi au mtu flani.. Saturday at 2:43pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Paul Kusekwa Kyamani@ huko ndo kufa kufaana,matatizo yako wewe m2 mwingine anaya2mia kwa maslahi yake. Saturday at 3:13pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Paul Kusekwa Kyamani@ huko ndo kufa kufaana,matatizo yako wewe m2 mwingine anaya2mia kwa maslahi yake. Saturday at 3:13pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Salim Mussa amekuskia mamaaaa..... Saturday at 3:29pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Ronalld Ngalai Lazima kundi moja kulipiga vita kundi ovu linalotafuna Nchi yetu. Ni siasa za maji taka kusema tusichezee amani huku yule anayesema hivyo akila rushwa. Wapambanaji wakipayuka eti wanajitafutia umaarufu. Nani atatuambia tunaibiwa? Au tubinafsishe wapambanaji? Ni ujinga kufikiri kundi lenye kujali maslahi ya watu lisipambane na kundi ovu, eti uibiwe usiseme, ukisema tu, unjitafutia umaarufu narudia ni Ujinga Saturday at 5:29pm · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]


    Shy-Rose Bhanji ‎Bimbona Rashid Kyamani kwa mawazo yako unaona mambo yanayoendelea nchini ni sawa? una jibu gani kuhusu mgao wa umeme? una jibu gani kuhusu kero ya maji? una jibu gani kuhusu mambo yanayoendelea ndani ya chama tawala? hivi huu ni muda kweli wa kuvuana magamba? hii ndiyo priority ya chama kweli? nchi inadidimia kwa matatizo lukuki na mkuu wa nchi yuko kimya na sisi wananchi tuendelee kukaa kimya? hivi umeshafika kwenye mahospitali ya serikali ukaona hali ilivyo? hivi ushafika kwenye mashule ya kata ukajionea hali ilivyo? au unaongea tu wakati moyoni mwako unajua kabisa mambo hayaendi? unavyoongelea suluhisho unadhani litapatikana vipi? watanzania tumekaa kimya sana siku nyingi na sasa tumechoka..kama wewe umeamua kukaa kimya bora ukae kimya na siyo kuleta sababu ambazo hazina kichwa wala miguu ... Saturday at 6:35pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Shy-Rose Bhanji ‎@ronald ngalai asante sana kwa kuliona hilo na asante sana kwa jibu zuri @least inaonyesha tumeanza kukomaa kifikra!! Saturday at 6:36pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Farhid Tawa Kiukwel waTZ walimuamin na kumpenda sana ila sasa kero zmezid nch imewekwa rehan wagen ndo wanayoifaid nchi hii na rasilimal zake wakat wazawa wanabak tia maji tia maji Yesterday at 8:22am · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Tessy Mwarabu Ingekuwa nch nyngne rais angefanya mabadiliko mapema aangalie nin obama amefanya baada ya kugundua tatizo hilo limemkumba yeye,i wish angejifunza kwa kuangalia alama za nyakat@shy Yesterday at 11:54am · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Shy-Rose Bhanji ‎@tessy i agree with u 100% Yesterday at 11:57am · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Farhid Tawa Tatizo uswahiba lakin akifumba macho bila kuangalia nan ni nan lazma mambo yatakuwa poa Yesterday at 12:17pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Tessy Mwarabu Shida ni moja 2, 2naangalia 2lipoangukia lakin hatuangalii wap 2lipojikwaa, simple 2nasolve tatizo bila kujua chanzo,hatuwez kuendelea kwa njia hyo hata kidogo Yesterday at 12:46pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Shumanice Chelseafc Bhoke Tulichagua hvyo sasa 2nalalamika nini!! Mkiambiwa 2mien kura zenu vzur mnadharau sasa why shud u provoke?? Kumbukeni hiki ni kpnd chake cha mwsh cha urais, hata akiboronga anahasara gani na wkt katiba ya nchi ina mbeba? akimaliza muda wake huwez hata mshitaki endapo amevurunda, mwachen baba wa watu ale maisha kmwshmwsho bana,c mnaona trip kla kukcha! Watz tumezid kuwa wajnga sasa 2ache kulalamika kwan yote 2meyataka wenyewe. Yesterday at 1:10pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Shumanice Chelseafc Bhoke Tulichagua hvyo sasa 2nalalamika nini!! Mkiambiwa 2mien kura zenu vzur mnadharau sasa why shud u provoke?? Kumbukeni hiki ni kpnd chake cha mwsh cha urais, hata akiboronga anahasara gani na wkt katiba ya nchi ina mbeba? akimaliza muda wake huwez hata mshitaki endapo amevurunda, mwachen baba wa watu ale maisha kmwshmwsho bana,c mnaona trip kla kukcha! Watz tumezid kuwa wajnga sasa 2ache kulalamika kwan yote 2meyataka wenyewe. Yesterday at 1:11pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Shy-Rose Bhanji ‎@shumanice hakuna mtu anayelalamika hapa ila kama watanzania tunaonyesha concerns zetu..ni kweli tulimchagua wenyewe na wengine tulimshabikia sana na kumpigia kampeni mpaka ushindi na ndio maana tunaona sasa anatuangusha kwani imani yetu ilikuwa ni kubwa kwake...bado mda upo miaka mitatu anaweza kufanya mageuzi makubwa tu lakini hiyo yote inaweza kutokea kama watanzania tukiwa wakweli na kumwambia ukweli pale ambapo anakosea..binafsi nimeona wana ccm wengi wanamshabikia kinafiki tu ndio maana nimeona nimwambie ukweli..na kwa taarifa tu hata wale ambao hawakumpigia kampeni na hawakumpa kura jk ni rais wa wote tayari yuko madarakani so hata hao wana haki tu ya kumkosoa pale anapotetereka...otherwise asante kwa mchango wako na kutembea ukurasa wangu! Yesterday at 1:26pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Farhid Tawa Heri kukosoa kuliko kutoa sifa za kinafk wa maslahi binafs... Yesterday at 1:34pm · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]


    Shumanice Chelseafc Bhoke Da shy ujue nasema 2nalalamika kwakuwa hamna hata m2 moja anatoa solution ya kwamba 2fanyeje sas a tukiwa kama watz? Kama ni kuongea 2meshaongea sn na hamna knachobadilika. Angalia bajet znavyoptishwa KICHAMA pale bungeni! utasema wao sio watz na utasema hawaoni matatizo,so me naona tatizo sio JK bali ni CCM. Tujadili nini kifanyike na kwa vp,vngnevyo 2takua 2najifurahsha 2 na kuwafurahsha wana FB wkt bibi yngu kule kjijin anateseka Yesterday at 1:40pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Farhid Tawa Solution ni kuweka kando undugu, ujamaa na kila element ya uswaiba na kusafisha team nzima ya viongoz nyanya nyanya walopelekea haya yote..bila kuwasahau waloshka madaraka kwa maslahi ya kina mamaa nyumban kwao Yesterday at 1:46pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Tessy Mwarabu ‎@shu just go thru comments zilizotolewacha kusema 2nalalamika kwan cc 2litegemea huyu kikwete hatatufikisha hapa 2lipofikia? ndo maana unaona wa2 wanachana kusema ukwel gat it rait Yesterday at 2:39pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Farhid Tawa Unaweza ukachana mwisho ukachanika mwenyewe km katiba inamlinda muhm kutafuta ufumbuz na kuekana sawa.. Yesterday at 2:48pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Bimbona Kyamani Dada@Shy-Rose Bhanji matatizo haya pia yananiathiri hivyo suluhisho litaninufaisha..Ukiwa Kada naamini ni miongoni mwa safu za uongozi wa nchi hii kwa vile chama chako ndio chama tawala..Labda utwambie ni hatua gani umechukua katika kutatua haya matatizo kwa nafasi yako.ili tusiamini kuwa wewe si moja wa hizo vaccum za uongozi unazozitaja.........Suala lingine ni kuwa leo hii ni miaka sita Jk Yuko madarakani.imekuwaje umayaona haya matatizo baada ya sera ya kujivua gamba....wahakikishie wote wanaochangia na kusoma ukurasa huu kuwa wewe si miongoni mwa wale wanaotakiwa kujivua gamba? Yesterday at 3:11pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Bimbona Kyamani Watanzania Tunahitaji maendeleo na suluhisho la matatizo yetu mengi ya Elimu,Afya na maji.Ni wakati muafaka wa kutafakari kila jambo na kuona kama lina manufaa katika maendeleo yetu.....Pia ni wakati muafaka wa kutambua viongozi makini na walio na nia za dhati kutuletea maendeleo na kutuondolea matatizo yetu kama nchi.Matatizo yetu yasiwe mitaji ya kisiasa kwa baadhi ya watu.isiwe fashion kwenda Bungeni Dodoma na kuonekana kwenye Runinga na kurasa za magazeti kila leo,ila kwa nia thabiti ya kutumikia taifa la Tanzania na wananchi wote. Yesterday at 3:26pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Farhid Tawa Jk nae m2 wapinzan hata wangekuwa wao wangekuwa na jipya gan nch ni hii hii muhm wap umetetereka na kurekebisha pia ajikaze na aweke kando undugunaizeshen Yesterday at 3:34pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Bimbona Kyamani Thats it @Farhid! we need Positive thinkers towards solving our problems. Yesterday at 3:38pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Tessy Mwarabu ‎2sihame kwenye topic ya msing suala katiba ni lingne kabisa,solution haiwez kufanyika bungen hii ni nyakat ya wananch kwa pamoja kukataa utumwa huu mambo leo 2anze kuelimishana kwa pamoja mambo gan yanayosababisha maendeleo dun kwa watz weng na tusisubiri serikal ifanye hvyo hapo itatusaidia cc kuwa na nguvu na hoja ya pamoja kama wananch wa tz Yesterday at 3:39pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Farhid Tawa Siku zote hasimu wako hawez kusifu,fanya mema yajaze dunia atatumia kosa hilo hilo 1 na kusahau mazur Yesterday at 3:41pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Tessy Mwarabu Refer tha previous comment niliyoitoa huwez pata solution wakat hutak kujua chanzo cha tatizo, 2ache kudanganyana bhana unataka soln ya matatizo gan? Tuanze kuchukulia hatua chanzo cha tatizo na sio ukomo wa tatizo jaman,2toe miziz ya tatizo fulan hili 2sitoe chanzo cha tatizo kujirudiarudia hapo ndo 2tasema 2natafuta soln Yesterday at 3:47pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Tessy Mwarabu ‎2siwe kama vinyonga mara rang hii mara ile embu bakia kwenye msimamo wako maana naona wachangiaji wanahama hawaelewk kip wanachotaka,na huo ndo udhaifu mkubwa miongon mwa watanzania weng,due to thc it,l tel years n yrs 2 brng changes hapa nchin Yesterday at 3:59pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Bimbona Kyamani Chanzo cha tatizo ni mianya iliyopo katika katiba yetu.ambayo nadhani imedhihirika hata pale tunapohitaji maamuzi ya haraka kutatua matatizo yetu,inatufunga yenyewe.Nadhani tumeona tatizo la mafuta.Hapakuwa na kigugumizi kufanya maamuzi ila kwa dunia ya leo lazima uongoze kwa kufuata misingi ya sheria.. Yesterday at 4:00pm · LikeUnlike

   • [​IMG]


    Bimbona Kyamani Tunapozungumzia pia uatawala wa sheria ni kila mmoja kuwajibika kwa nafasi yake.Hapo maendeleo yatakuja kwa kasi....ila tusitamani kurudi kwenye mfumo wa Centralized Government maana maamuzi yatachelewa na maendeleo kuchelewa. pia udikteta huenda ukaanzia hapo. Yesterday at 4:04pm · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Ronalld Ngalai Tuna tatizo la muongozo. KATIBA. Pia ili tuendelee, lazima ccm iondoke madarakani! Iking'ang'ania, wimbo utakua uleule, Mchakato, Kaulimbiu, Kilimo kwanza, Tupo mbioni, Mkurabita, Mkukuta, Tutajitahidi, Gamba limetoka, 23 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Tessy Mwarabu ‎2kija kwenye katiba ni lazima 2zungumzie chombo kngne kitakachowawajibisha wa2 wote wanaoenda against it ambacho c lazima kiwe chn ya serikal na ikiwezekana kipigiwe kura then kishirikiane na mahakama kuepusha kumpa rais madaraka ya kuchagua ambyo hayamuwajibish hata akikosea hcho ndo ki2 cha msing wen kukirud kwenye masuala ya katiba 17 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Jenn Rugs Mim nakubaliana na wote hapo juu.ukweli ni kwamba something has to be done...tunapoelekea ni pabaya na ukimya na uvumilivu (usio wa kweli mioyoni mwetu) ndo unaotuponza
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Shy-rose move on
  u r really independent thinker huna akili za kushikiliwa kama NAKAYA
   
 3. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimependa uwazi huu wa Shyrose. Natamani wale walio karibu na Kikwete, wakiwemo watu wa usalama wa taifa nao wangemwambia hivyo 'point blank' labda Mungu atamsaidia ajirekebishe. Otherwise, miaka mingine minne chini ya huyu mtu ni balaa kubwa kwa Watanzania.
   
 4. U

  ULEVI NOMA Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK ni janga la taifa. Alikimbilia Urais tangu 1995 tukadhani ana uchungu na taifa hili na kutaka kuleta maendeleo ya kweli. Kumbe alikuwa na ajenda binafsi ya personal prestige tu na kupata nafasi ya kusafiri kila siku kwenda Marekani na nchi nyingine kwa kutumia kodi za wavuja jasho wa Watanzania. JK kweli ni Janga Kubwa!
   
 5. U

  ULEVI NOMA Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kina Shyrose Bhanji, January Makamba na vijana wote mwenye uchungu na uzalendo wa nchi hii. Tokeni CCM, hamieni CHADEMA mlete maendeleo ya kweli nchini. Alama za nyakati zimeshaonesha kuwa hata waibe kura vipi, CCM hawashindi uchaguzi wa 2015.
   
 6. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Wale wale tu. Magamba hawaaminiki.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Shy-Rose, dont waste UR time at with the magambas. Ingia CDM sasa hivi ujijenge mapema na jimbo la Kinondoni ni lako 2015. If Halima Mdee could, you also can baby. The ship is sinking fast, just fumba macho and JUMP, JUMP, JUMP......!
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ona sasa!!!!!!!!!!!! Mmomonyoko mtindo mmoja kama nyumba ya karata sasa!!!!!!!!!!!!
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Eti walijivua gamba!!! Hivi nyoka akijivua gamba si ndiyo anakuwa mkali sana ila anabaki kuwa nyoka yule yule? Au tusema anabadilika na kuwa nyoka mpole, au mamba, au kenge? Sijaona mabadiliko. Kama hata mnaogopa wafanyabiashara wa mafuta na kufyata mkia ndani ya masaa mmesharejesha bei ya awali si mchezo. Ni wakati umefika kuwe na some form of price regulation ya bidhaa zote hivyo kuiua Tume ya bei kisa eti unaacha uchumi wa nchi changa open full flagged ni maamuzi ya vichwa vya wenda wazimu. Hivi hatukuwa na wachumi washauri kuwa kuna issues za ku-form cartels kwa wafanyabiashara hasa wakiwa ni wakubwa na wachache? We are enjoying matokeo hivyo hakuna haja ya kujidai kuandika barua za mara onyo mara vitisho? Danganya toto na wameshawashinda and they know this Government is Weak!!! Watatukanyaga hadi ndani ya K na M kabisa!
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Lowasa network@ work.
   
 11. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyo hapo kwenye wino mwekundu; kama naaye anayo uchungu na taifa hili basi kwanza nenda Bumbuli ukawaulizi kwamba ubunge aliupateje, alifikaje mjengoni Dodoma.

  Kamuulize kama $ miloni 10 za ki-Marekani zile alizokopa New York alizitumiaje na anategemea kuzirejeshaje kwa kazi hio tu wa UBUNGE BLACKMARKET kupitia msaada wa Tume ya Uchaguzi.

  Kwenye listi yako umekosea sana kwa jina hilo hapo; kamuone Mzee wa Ukweli Shellukindo ndipo utakapojua mchezo ulivyokua mchafu huko jimboni hadi MFAIDIKAJI wa mchezo huo mzima akawa amebaki kaduwazwa ni kivipi alivyoweza NA YEYE ku-imeki Mjengoni Domz.

   
 12. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Nilishawahi kuona comment ya Shy katika facebook, Namnukuu " Lowasa for 2015 presidential seat". Wwale wale tu
   
 13. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #13
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Heri huyu aliyeongea yaujazayo moyo wake, kuliko maelfu ya wanaccm wanajifanya hawayaoni hayo aliyoyaona Shy rose Bhanji.
   
 14. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Hamna mtu aliyepo CCM ambaye ana uchung na nchi, Kinachowasumbua wana magamba ni uroho wa madaraka tu. Uozo unaouona leo, umeanza tangu awamu ya pili, ukakolezwa awamu ya tatu na awamu ya nne wanapalilia, kwa mfano
  (a)Ufisadi wa Rada, meremeta nk
  (b)Mgawo wa umeme,nk

  Matatizo yanayoisumbua Tanzania sio Kikwete peke yake, Ni wana magamba wote. Zogo unaalosikia leo ndani ya CCM ni kwa sababu ya Uraisi 2015. Hata huyo Shy ni mpambe wa Lowasa

  Usahauri wangu kwa wana JF, wala msidanganyike na kelele za wana magamba hao, wote ni wale wale tu
   
 15. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Leo ni takribani miezi kumi tangia JeyKey arudi magogoni na bado haja unda serikali yake...kuna wakuu wa mikoa,wilaya, wakurugenzi kibao tu wanakaimu madaraka....hiyo ni hatari kwani hawawezi kufanya maamuzi yoyote.....kubwa kuliko yote ni kupeana madaraka kwa mtindo wa mikataba wakati nchi inawataalamu wengi tu hawatumiwi ipasavyo....Kila DC ameshaweka kibindoni mafao ya shilingi milioni 80 halafu wanasubiri awamu nyingine
   
 16. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  hakuna independent thinker hapo kwenye hilo kapu la ccm, huyu ni kambi ya Lowassa na Rostam!, ni mpenda mafisadi tunamjua!, ila katika hili kasema ukweli (japo anaweza kuwa ametumwa na boss wa kambi yake kusema)
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nampongeza shy rose kwa ujasiri, thats the way how we all should be!
   
 18. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  akae huko huko, cdm hawataki mamluki wa Lowassa
   
 19. M

  Mkandara Verified User

  #19
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Rich Monduli,

  Mkuu unajua kama ume breach privacy ya watu ktk mawasiliano kwa kuweka bandiko (copy and Paste) hili hapa bila consent yao?.. Afadhali ungeweka maelezo ya ShyRose pekee bila hizo picha na majibu ya wahusika wengine..
   
 20. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  hakuna mwenye uchungu na nchi hii ndani ya makada na viongozi wa ccm, wote wanasema kwa malengo binafsi au kambi zao
   
Loading...