Kila siku ni bora ya jana

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,383
2,000
Mbali ya porojo za Ngeleji leo umeme umekuwa hivi;saa 2as ulikatwa,saa 10jio ukarudishwa,saa 11jio ukakatwa,saa 3usik ukarudishwa,kuanzia saa 4usiku huu hata sasa tuko kwenye giza nene..TUMEDHUBUTU,TUMEWEZA,TUNASONGA,magamba's ballad stories.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom