Kilimanjaro: From National Icon, to Kempinski, to Hyatt, and now finally to WikiLeaks Hotel!

W

Warofo

Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
75
Likes
7
Points
0
Age
47
W

Warofo

Member
Joined Mar 15, 2011
75 7 0
Hoteli ya Kilimanjaro, ambayo zamani ndiyo ilikuwa hoteli ya heshima kubwa ya taifa la Tanzania, imepitia wakati mgumu tangu kubinafsishwa kwake katika mazingira ya kutatanisha. Imepitia jina la Kempinski, ikawa Hyatt (hayati) na sasa wajanja mjini wanaiita "The Kilimanjaro Wikileaks Hotel!" Waswahili kwa maneno bana...

Source: TANZANIA blog

P

PROSEKYUTA

Member
Joined
Aug 23, 2011
Messages
33
Likes
2
Points
0
P

PROSEKYUTA

Member
Joined Aug 23, 2011
33 2 0
Hili suala la WikiLeaks limemuumbua sana mkuu wa nchi. Pamoja na kukanusha kote huko. Tetesi zilizopo ni kuwa yaliyosemwa na balozi wa Marekani ni ukweli mtupu. Kuna watu wamethibitisha kuwa ni kweli Mwarabu alitoa mchango wa $1 million kwa CCM, hatujui kama huo mchango ulifikishwa. Pia wenye hoteli Dar wamekuwa wakilalamika kuwa Kempinski imekuwa inapewa upendeleo maalumu na Ikulu na taasisi nyingine za serikali kwenye kuwapa tenda za kufanya mikutano ya kimataifa na kitaifa kwenye hoteli hiyo.

Wakiulizwa na wenye hoteli wengine kwa nini Kempinski imekuwa ikipendelewa namna hiyo viongozi wa serikali wamekuwa wanajibu eti kwa kuwa iko karibu na Ikulu. Sasa sijui ni ukaribu wa usafiri au ukaribu wa kirafiki?!

Nyota Ndogo

Nyota Ndogo

Senior Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
152
Likes
0
Points
0
Nyota Ndogo

Nyota Ndogo

Senior Member
Joined Aug 7, 2011
152 0 0
Hoteli ya Kilimanjaro, ambayo zamani ndiyo ilikuwa hoteli ya heshima kubwa ya taifa la Tanzania, imepitia wakati mgumu tangu kubinafsishwa kwake katika mazingira ya kutatanisha. Imepitia jina la Kempinski, ikawa Hyatt (hayati) na sasa wajanja mjini wanaiita "The Kilimanjaro Wikileaks Hotel!" Waswahili kwa maneno bana...

Source: TANZANIA blog
imegeuka kibanda cha mafundi cherahani kwa watu kwenda kuvua nguo na kupimwa viuno, viwiliwili, urefu, upana, kifua ....ili wakanunuliwe suti.

F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,364
Likes
1,671
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,364 1,671 280
The best na name of the Land of Kilimanjaro is deleted in the minds of CCM leaders can you imagine the old KIlimanjaro turning into a fracas of corruption ooh lord help me ,I want to live and see the prosperity of the Land of Kilimanjaro,the Tanganyika i want is revived

mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
3,164
Likes
161
Points
160
mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
3,164 161 160
Hoteli ya Kilimanjaro, ambayo zamani ndiyo ilikuwa hoteli ya heshima kubwa ya taifa la Tanzania, imepitia wakati mgumu tangu kubinafsishwa kwake katika mazingira ya kutatanisha. Imepitia jina la Kempinski, ikawa Hyatt (hayati) na sasa wajanja mjini wanaiita "The Kilimanjaro Wikileaks Hotel!" Waswahili kwa maneno bana...

Source: TANZANIA blog

juzi nilikuwa mule ndani..watu wanakula bata kama kawa, hawajali eti hayati rejensi au marehemu kempiski..tunaibiwa tu na wajanja wachache..ndo malipo ya ule mchango wa $1m kwa sisiem na zile suti za mukulu

W

Warofo

Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
75
Likes
7
Points
0
Age
47
W

Warofo

Member
Joined Mar 15, 2011
75 7 0
Hii nchi imeuzwa, kumbe ndiyo maana serikali inataka kuwafukuza majaji wa Mahakama ya Rufaa kutoka kwenye jengo lao iwahamishie porini ili jengo hilo apewe mwarabu wa Kilimanjaro Hotel. Huu kweli ni utumwa!

Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,048
Likes
11,372
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,048 11,372 280
Mimi nina jina zuri zaidi, iitwe The Kilimanjaro "Masutisuti" Hotel.... Au vipi jamani?
No,
Labda "Suti za Kuhongwa" Hotel ndo lingependeza,
Wajua jina lazima liwe refu kidogo

nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
86
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 86 145
The biggest Mistake was not selling this hotel to a native local Tanzanian, they went to Embrace Kapinski after free Suits and hand watches just 2 please their loving stomach's

I really do believe if Mr. Mengi who had big plan for the HOTEL his proposal would have earn more money to the gvt coffers, locals quality job employment and so many other up to the government getting it taxes.

But they run for Mwarabu na Mazawadi... look now after 5yrs they R supposed to pay taxes, they end up sale the hotel to a sister company Hyatt... U know they Related... So both companies are the same but different names due to business in some other countries then don't want Whyatt as it is American name some in Far East Love Kempinski.

Forum statistics

Threads 1,251,848
Members 481,916
Posts 29,787,519