PRIMARIES ALONE COULD HAVE "SWALLOWED" OVER 30BN... Where are we going? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PRIMARIES ALONE COULD HAVE "SWALLOWED" OVER 30BN... Where are we going?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TIMING, Aug 5, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Are they really fighting for poor people or their tummies??

  Binafsi nasikitishwa sana na jinsi primaries za CCM zilivyokwenda hasa ukizingatia kiasi cha pesa kilichotumika; on average at least 2 candidates katika kila jimbo la uchaguzi ametumia around 150M kwenye campaign tu, hapo sizungumzii majimbo tata ambapo kuna watu walifika hadi 500M [hapa nimekua very conservative]

  Upande wa Dar pekee ilifikia average ya 300M na ni kwa at least candidates watatu kila jimbo... TOO MUCH MONEY CIRCULATED. in a nutshell one can predict matumizi ya around 150,000,000 x 200 [majimbo - just about] kama minimum money spent informally... that amount could double easily, na hii ni primaries tu!!!


  I am keen to know how much M-Pesa, Z-pesa etc. wametengeneza in such a short time by just being conduits to the axis of evil, kwenye mabenki ndio usiseme, kuna agents na pia baadhi ya makatibu wa chama wa wilaya ambao leo ukichuku bank statements zao utacheka, yaani watu wa around laki tano kwa mwezi wamezungusha over 50M in just few weeks... to me these are the targets we need to focus on to expose the degree of kitu kidogo involved; check M-pesa, check z-pesa, check account etc, utajua how much "pesa chafu" circulated


  Some of the potential candidates have lost hence left makatibu wakiwa fine and happy through losers sweat and blood

  TAFAKARI, CHUKUA HATUA..... WAS IT FAIR?

   
 2. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nchi imekufa, inapumulia machine chakavu, na wataalamu waliokata tamaa
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  hiyo pia huchangia inflation, hasa endapo fedha huizo zimetolewa na serikali kwa njia kama ya EPA ili zitumike kwenye kampeini.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  TAKUKURU hawapambani na rushwa kwa namna hiyo. Wao wanaangalia wamekukuta na nini kwenye gari au mkononi. Ukihonga kupitia benki au ukitumia jina la mtu mwingine kuhonga wao hawajali. You are right, bilions zimetumika kununua uongozi, and zinapolipwa huwa zinalipwa na interest hapo ndio utajua nani atalipa interest.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama ume-note, for the pst two months circulation ya pesa imekua very minimal, inlation [kama ulivyosema] imekua mbaya na kibaya zaidi we turn blind eyes on such important matters

  i believe nyingi ya pesa hii ni infomal from ordinary citizen ilichangwa kama michango ya harusi... idirectly ni sisi wenyewe tuliobariki rushwa hii
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa hapo ndipo wanapokosea... nina imani kwamba polisi wetu huwa wanachunguza vizuri na TAKUKURU hawawezi hii vita bila kuwa karibu na polisi na UWT, i am sure this is what happens now

  I look at the CCM primaires kama rehearsal ya namna ya rushwa iendeje kwa baadhi ya walishinda primaries na pia kama litmus test kwa TAKUKURU, although they have tried, but their approach lead to some of their officers being even more corrupt kwa petty cash

  SOPHISTICATION IS KEY TO FIGHTING CORRUPTION, NA HUKO VIJIJINI NDIO THE BEST FIELD KUPRACTICE NAMNA YA KUPAMBANA NA RUSHWA

  sadly, the 30BN plus plus swallowed will never be recovered, but will only eat of kids and families tushidwe hata kuwasomesha vizuri, at the expense of about 230 people chasing glory
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Back to Igunga.... are we going to experience similar cases?
   
Loading...