Maandamano hufanikiwa zaidi siku ya ijumaa kuanzia Alasiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano hufanikiwa zaidi siku ya ijumaa kuanzia Alasiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGULI, Sep 9, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Asalam Alekhum wana JF wote,

  Nimekuwa nikijiuliza hasa kwa nchi za Misri, Iran, Tunisia etc kwa nini maandamano yanashika kasi sana siku za ijumaa baada ya Alasiri bila mafanikio ya uwelewa wa kina.

  Ukiangalia maandamano yaliomng'oa Hosni Mubaraka yalishika kasi siku ya Ijumaa na huwa maandamano ya namna hii yanafanikiwa. Kidogo Iran walichemsha ila nauhakika wakirudia tena watamng'oa mtu.

  Je ni kuwa Ijumaa ina baraka kuliko siku zote?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  tatizo la kuunganisha siasa na dini...
   
 3. magnificent

  magnificent Senior Member

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red unataka kumaanisha kuwa mungu wa waarab ndio bora kuliko miungu wengine?
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hata maandamano ya mwembe chai znz yalifanyika ijumaa , kinachoshangaza ni kwamba hao watu wanaoandamana ijumaa ni rahisi sana kuwakusanya na wengi wanaongozwa na jazba
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 6,027
  Trophy Points: 280
  Wakishatiwa munkari na wahadhiri wao kwenye ibada zao akili zote zinahama; kwao hata kumwaga damu ni jambo la kawaida tena kwa upuuzi mdogo tu kama kwenda peponi, n.k. Sio Misri, Iran, na sehemu nyingine za Uarabuni tu, hata hapa Tz. Fuatilia kwa makini, kila wanapofanya maandamano ni siku ya Ijumaa. Kwa mfano, waliwahi kuandamana kumuunga mkono Osama, kulaani katuni fulani iliwahi kutokea magazeni Ulaya, n.k. - ilkuwa Ijumaa.

  Siku zote huwa nasema, siku hawa jamaa watakapojua kutofautisha DINI na SIASA ndipo ukombozi wa kweli hasa hapa nchini utakapopatikana. Haiwezekani, kwa mfano Sheikh Mkuu atamke hadharani kupinga maandamano ya chama cha siasa kinachotetea maslahi ya wananchi wote bila kujali dini lakini wakati maslahi yao ya kidini-siasa yanapoguswa (kwa sababu za msingi kabisa) wajifanye kutaka kuandamana. Na wala haihitaji unabii kulijua hili kwamba wakiamua kuandamana itakuwa siku gani!
   
 6. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mungu wa Waarabu ni wa Ibaada za Jaziba!!
   
 7. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ijumaa hii alasiri fanyeni maandamano ya kupinga hotuba ya JK aliyoitoa siku ya Eid alafu ndo ulete tena hii mada hapa.
   
 8. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa hajui maandamano, nadhani anazungumzia matembezi ya jazba.
   
 9. magnificent

  magnificent Senior Member

  #9
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mungu wao anaitwa nani jina, nikumbushe.
   
 10. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hii post ihamishiwe jukwaa la dini, hapa itachafua hali ya hewa tu
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu nguli hizi baraka unaziulizia kwa upande gani maana maandamano yana pande 2 waandamanaji na pili ni serekali imbayo inaweza pia kuwa supported na baadhi ya watu....
   
Loading...