Siku za CCM Njombe za hesabika.

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
Katika harakati za kumpata Diwani kata ya Mjimwema katika Halmashauri ya Njombe zimeanza leo, ambapo kundi la kumnadi mgombea wa CCM pamoja kwamba limepita mitaani ndani ya nguo zao kijani limeonekana kudorola kwa kukosa watu wakuwaunga mkono na kuzomewa kila kona na wananchi.

Wakati huohuo Mgombea wa CHADEMA akiungwa mkono na utitiri wa watu kiasi kwamba dalili zote zina ashiria kuwa kura zote zitaenda kwa mgombea huo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom