Hizi ni baadhi tu ya issues ambazo bado hazijakamilika mpaka sasa.
1. Wizi wa EPA (Rostamu, Manji, CCM) kushughulikiwa
2. Report Uchakachuaji wa Kura za DR, 2010 Election
3. Sheria ya kusimamia...
¶10. (C) President Kikwete offered his own insight on the
root cause of Zanzibar's political distress: over-reliance on
the State. He explained that the political leadership on
Zanzibar put too...
TANU ilitoa elimu na afya bure
TANU ilijenga viwanda vya MWATEX, SUNGURA TEX, KILTEX,URAFIKI,ZZK MBEYA, n,k
TANU ilijenga RELI, BANDARI
TANU ilikuwa na Air Tanzania.
Shilingi ilikuwa imara...
Viewing cable 06DARESSALAAM1145, TANZANIA'S POWER CRISIS: COMEDY OF ERRORS OR
If you are new to these pages, please read an introduction on the structure of a cable as well as how to discuss them...
....Mnasahau kuwa yote mtendayo katika karne hiii yanaandikika
....Mnasahu kuwa katika jamii zetu majina ya ukoo ni utamaduni mkubwa na wa kuendelezwa kizazi hadi kizazi
.....Mnasahau kuwa tukio...
Mwandishi Wetu
7 Sep 2011
Toleo na 202
Aliomba akale Idd Dar, ‘akachupa'
Wakubwa wahofu kuzungumza
MTUHUMIWA wa kwanza katika kesi ya utoroshaji nje ya nchi wanyama pori hai 136 wa aina...
Wana JF
Kwanza na-declare interest mm ni mfuasi na mwanachama wa CHADEMA, Hili swala la Marando kuwa wakili wa baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi km vile manji na mahalu litakuja kuwa na madhara...
Akamatwa na simu ndani ya gereza akiwa mfungwa huku sheria za nchi zikiwa zinazuia kitendo hicho!
Bosi aliyekuwa anawasiliana naye kuhusiana na rufaa yake ndiye aliyemchoma kwa maafisa wa jeshi...
Na Richard Makore
NIPASHE ya 6 Sept 2011
Waziri wa Ujenzi ,Dk John Magufuli amesema kitengo cha Manunuzi(Procurement) Makao Makuu ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kinanuka kwa rushwa na...
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia Katibu Mwenezi wa CCM wa Mkoa, Patrick Maufi (48), kwa tuhuma za kumwua mkewe, Tuli Mwakibinga (38) kwa kipigo kutokana na kilichoelezwa
kuwa ni wivu wa...
Taratibu za kiusalama zinawekwa sawa kwaajili ya ujio wa mheshimiwa Rais!<br />
<br />
Makandarasi naona wamejitokeza na wengine wanaendelea kuja! Tutawaletea yanayojiri hapa!<br />
<br />
<b>...
Siku ya ijumaa wiki iliyopita tarehe 2/9/2011, katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku, TBC radio walimpigia kampeni mgombea wa ubunge jimbo la Igunga kupitia CCM. Katika kumpigia kampeni, TBC...
Wakati macho na masikio ya Watanzania yakielekezwa Igunga kwenye uchaguzi wa Ubunge, mjini Njombe Wabunge watatu wa Chadema watahudhuria uzinduzi wa Kampeni za kiti cha Udiwani kata ya Mjimwema...
Kwanza niunge mkono hoja ya mwandishi Joseph Mihangwa kwenye gazeti la Raia Mwema la Septemba 7. Ni kweli watanzania kwa hali tuliyofikia hatuwahitaji tena wanasiasa katika kuleta maendeleo bali...
"Leo katika mwendelezo wa kesi ya uchaguzi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Bwana Godbless Lema , pingamizi lililowekwa na mawakili wa mheshimiwa Mb Lema kuwa waliofungua kesi hiyo dhiidi ya Lema...
Ni wanafunzi wapatao 14,000 wajiunga rasmi na vyama pinzani kwasababu za kutotendewa haki katika mgawanyo wa mikopo kwa kuwawezesha kujiunga na elimu ya chuo kikuu.
Ni baada ya Bodi ya mikopo...
Hivi ni wakati gani Tanzania ilitakiwa kuonyesha ukali kwa lugha aliyoitumia mheshimiwa Membe kwa Balozi wa Libya nchini? Bila shaka wengi wa Watanzania ambao ni washabiki na wapenzi wa Muamar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.