Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM wilayani Ngara umesema unakusudia kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo ambako viongozi wa vyama vya upinzani ili kusafisha hali ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Moja ya mambo yanayosikitisha ni pale mtu unayemtegemea kuwa anauwezo au akili fulani au busara lakini unakuja kukuta kinyume chake. Ndugu zangu watanzania napenda kuanza kwa kusema ule msemo...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Kama umelisoma gazeti la Mtanzania la leo ukurasa wa kwanza utaona jitihada za Mheshimiwa MBUNGE wa Monduli Edward Lowassa katika kujaribu kuwa "relevant" katika "political setup" ya nchi hii kwa...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Nimefuatilia michango ya wabunge kwa makini. Jambo moja kubwa limejitokeza, wazungu wanaonekana kuwa ni chanzo cha matatizo yetu mengi! Wapo ambao wanaosema tuwafukuze, wengine wana wakebehi...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Magazeti ya UHURU na Mwananchi leo tarehe 14/9/2011 ya mebeba tuhuma nzito zilizotolewa na mweka hazina wa CCM Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa moja ya jimbo mkoani Singida, kwamba CHADEMA...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Wana jf hongera kwa kazi,napenda tu kuwambia kwamba msifadhaike sana ndani ya mioyo yenu na jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sababu ni mpango mzima wa mungu.mungu aliufanya moyo wa farao kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni article ya mwaka juzi lakini umuhimu wake bado ni mkubwa kujikumbusha na kuifahamu vizuri kampuni hii.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wednesday, September 14, 2011 Mwandishi Wetu 14 Sep 2011 Toleo na 203 hanjo, CAG Utouh, Ngeleja kuhojiwa Wamo pia vigogo kadhaa serikalini MOTO wa sakata linalomhusu aliyekuwa Katibu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa miundombinu wa zanzibar hamad masud mh.Hamad Masudi amesema yupo tayari kujiuzuru Sosi:bbc
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Bado wananchi wengi hasa vijijini hawaoni lolote linalofanywa na watu waliowapa dhamana ya kidemokrasia ya kuwaletea maendeleo..na wanadai zipo sababu nyingi zinazosababishwa na hali hii..je,wewe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
************* Habari ifuatayo unaweza kuisoma kwenye attachment niliyoweka humu ambayo ni cutting kutoka gazeti la DIRA la leo uk. 02 ************* Mmoja wa madiwani wa CHADEMA wa Jiji la...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Mhona kasema kweli CCM wabunge wake hawakai majimboni Igunga wakilogwa tu watakoma zaidi ya RA na wataona ni bora kipindi chake na miaka 4 ni mingi wataona kama ni karne.
0 Reactions
77 Replies
7K Views
  • Closed
taarifa nilizozipata kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba orodha ya wakuu wa mikoa tayari imeshaandaliwa! wale ma rc waliodondoka kwenye majimbo wote imekula kwao, wale wote ambao ni wabunge...
0 Reactions
159 Replies
17K Views
...Najua naweza kuonekana wa ajabu, lakini nimeguswa sana na kitendo cha wahusika na Miss Tanzania kuendelea na Onesho lao ilhali Taifa letu liko katika maombolezo ya vifo vya mamia ya waTanzania...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Kama vile hatuufahamu ukweli! Kuanzia kwenye maswala ya kijamii, siasa, michezo, taaluma n.k, mambo yako wazi kabisa mfanao, umeme kuzimika Taifa mwishoni mwa mashindano ya Kagame-unda tume...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Hatimaye tunafuatilia kwa ukaribu mkubwa sana uteuzi wa wabunge na mawaziri wa kulitumikia taifa la Tanzania ambao Muheshimiwa na Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa TZ ndugu Jakaya Mrisho Kikwete...
0 Reactions
67 Replies
14K Views
Hili ni wazo tu. Kwa kuwa serikali ya CCM imetumia wasanii kadha wa kadha kuimba nyimbo za kuipamba na kuisifu serikali ya ccm kwa maendeleo makubwa imeyoleta tokea uhuru (propaganda), angalia...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Ndugu zangu, kuna msemo unasema, "The future is for those who prepare for it today".. Nchi inakwenda mrama Maisha yanazidi kuwa magumu Ufisadi unaongezeka Tulisikia magamba...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama taarifa hii ni kweli wakati JK akiwa Mwanafunzi wa elimu ya siasa chuoni Monduli,alipowasilisha taarifa yake kwa Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere,na kisha Baba wa Taifa kuukabidhi waraka huo...
1 Reactions
110 Replies
11K Views
Well, I know this story is posted somewhere around here. But, after my conversation with a number of wadau, I have come to theorize that the current tax regime for phone companies...
4 Reactions
73 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…