Hakika Lowassa ni mgeni wa sheria....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,266
911,154
Kama umelisoma gazeti la Mtanzania la leo ukurasa wa kwanza utaona jitihada za Mheshimiwa MBUNGE wa Monduli Edward Lowassa katika kujaribu kuwa "relevant" katika "political setup" ya nchi hii kwa kujipatia "cheap visibility" pale aliposhauri BIMA iwajibike na ajali ya meli ya Zanzibar...................

what are the pertinent facts on this tragedy?

1) Mwenye meli alipakia watu na bidhaa zaidi ya kipimo na uwezo wa meli............................huu ni uzembe kwa mmiliki wa chombo, SUMATRA, na serikali ya JMT na ya visiwani.................................BIMA hawawajibiki katika ajali za kizembe kama hii........................

2) Sheria za vyombo vya majini ipo wazi kabisa ajali zote zinazosababishwa na uzembe wamiliki kugharimia fidia..........sasa Mheshimiwa Lowassa anatoka wapi kuingiza BIMA kwenye nakisi bandia ambazo ni kinyume kabisa na sheria??????????????????

3) Kama mwanasiasa huyu angelikuwa ni kiongozi makini na ambaye anajali kweli adha za raia angelishinikiza uwajibikaji wa watendaji serikalini badala ya kututupia changa machoni kwa hizi kejeli zake.............katika masuala ya kimsingi kama haya...................

where does this leave Lowassa with his burning ambition to be our CHIEF CEO comes 2015??????????????

He is definitely unfit and totally unprepared with 21st challenges.........bedevilling this nation................and in....................particular when he fails even to grasp such rudimentaries of our own laws which he had personally helped to patch up.......................................

what is your view on this discourse after you have carefully perused the said article on Mtanzania?

[h=2][/h]
MV Spice Islanders ilibeba abiria 3,000
Send to a friend

Wednesday, 14 September 2011 20:39

07spiceirelander.jpg
Meli ya MV Spice Islanders ikielewa katika bahari eneo la Nungwi Zanzibar nchini Tanzania, inasadikiwa kuwa kabla ya kupata ajali meli hiyo ilikuwa imebeba abiria 3000, huku uwezo wake ukiwa abiria 6000.

Ukishaona hivyo ujue kuna mtu wanamfunika...kwanza mkuu wa bandari (sijui ni mtoto wa Abdu Jumbe) na wamiliki wa meli ....
 
na huyu ndiye anaonekana mwerevu zaidi ya wengine kundini!!!!! haya kama kawaida nchi inaendeshwa kwa matamko na hapa cha muhimu tusubirie ili tumkumbushe tamko lake baada ya siku saba kama litatekelezeka. Na baada ya siku saba tutakumbushia mwezi ukifika theni mwaka kabla ya hiyo 2015Then kazi yake kwisha kuanzia hapo alipo ajiuzuru ubunge tuuuuu iweje yeye kama yeye mwakilishi wa wananchi akiuke mashariti ya usafirishaji watendajiwake wawajibishwe ipasavyo,

Hiyo Meli ni lini mara ya mwisho kufanyiwa service? ni kwa muda gani tokea aimiliki hiyo meli na imeingiza faida kiasi gani ambacho alishindwa nunu ameli nyingine au kuboresha service
Mkuu Jethro, mambo yameshaharibika hapa na tunavyochelewa kuchukua hatua ndivyo tunajipeleka wenyewe 'ground zero'. Wanaweza kuza na service documents ambazo ziko backdated kama walivyofanya kwenye utetezi wa ndege za serikari mkumbeba mrs. mkulu!
 
Kama umelisoma gazeti la Mtanzania la leo ukurasa wa kwanza utaona jitihada za Mheshimiwa MBUNGE wa Monduli Edward Lowassa katika kujaribu kuwa "relevant" katika "political setup" ya nchi hii kwa kujipatia "cheap visibility" pale aliposhauri BIMA iwajibike na ajali ya meli ya Zanzibar...................

what are the pertinent facts on this tragedy?

1) Mwenye meli alipakia watu na bidhaa zaidi ya kipimo na uwezo wa meli............................huu ni uzembe kwa mmiliki wa chombo, SUMATRA, na serikali ya JMT na ya visiwani.................................BIMA hawawajibiki katika ajali za kizembe kama hii........................

2) Sheria za vyombo vya majini ipo wazi kabisa ajali zote zinazosababishwa na uzembe wamiliki kugharimia fidia..........sasa Mheshimiwa Lowassa anatoka wapi kuingiza BIMA kwenye nakisi bandia ambazo ni kinyume kabisa na sheria??????????????????

3) Kama mwanasiasa huyu angelikuwa ni kiongozi makini na ambaye anajali kweli adha za raia angelishinikiza uwajibikaji wa watendaji serikalini badala ya kututupia changa machoni kwa hizi kejeli zake.............katika masuala ya kimsingi kama haya...................

where does this leave Lowassa with his burning ambition to be our CHIEF CEO comes 2015??????????????

He is definitely unfit and totally unprepared with 21st challenges.........bedevilling this nation................and in....................particular when he fails even to grasp such rudimentaries of our own laws which he had personally helped to patch up.......................................

what is your view on this discourse after you have carefully perused the said article on Mtanzania?

Mkuu SUMATRA walipigwa marufuku kufanya kazi Zanzibar kwa kuwa Usafiri si suala la Muungano!!! Sijui JMT nayo imepigwa marufuku Zanzibar kwa kuwa Usafiri si suala la muungano!! Huu muungano huu!!
 
Hawa mawaziri wakuu wa zamani bana
 1. Nyerere(deceased and highly missed))
 2. Kawawa(deceased)
 3. Sokoine(deceased and highly missed)
 4. Msuya(kimya)
 5. Warioba(kimya)
 6. Salim(kimya)
 7. Malecela(kimya)
 8. Sumaye(kidooogo anaongea)
 9. Lowassa(anaongea mno)
 
Lowassa akinyamaza......utasikia ooh sijui mbona hasemi kama ni kiongozi anayetegemewa baadaye mbona hasemi? Akiongea ooh anaongea Mno! Lol! Hata kama ni layman katika sheria lakini lengo lake lilikua jema kwamba watu wale wasaidiwe! Kweli WTZ sijui ni Taifa lililotoka wapi, Bongo Bwana noma ILA nimekumbuka TATIZO USWAHILI MWINGI/POROJO/LONGOLONGO!!!! RutashubaNYUMA.....uko NYUMA sana na sioni hoja katika thread yako!!!
 
Hawa mawaziri wakuu wa zamani bana
 1. Nyerere(deceased)
 2. Kawawa(deceased)
 3. Msuya(kimya)
 4. Warioba(kimya)
 5. Salim(kimya)
 6. Malecela(kimya)
 7. Sumaye(kidooogo anaongea)
 8. Lowassa(anaongea mno)

9. Pinda (Kimya anaogopa anaweza kusema hili halafu kesho akakanushwa vikali au akaambiwa asubiri hadi Mkweree ashuke kwenye 'Air Force One' ili amshauri kwa kuwa Mkweree akiwa safari, Ikulu yote likizo na makamu wa raisi anaenda Zenji kula urojo.)
 
Huyu tumsamehe ni incumbent
 
Kama umelisoma gazeti la Mtanzania la leo ukurasa wa kwanza utaona jitihada za Mheshimiwa MBUNGE wa Monduli Edward Lowassa katika kujaribu kuwa "relevant" katika "political setup" ya nchi hii kwa kujipatia "cheap visibility" pale aliposhauri BIMA iwajibike na ajali ya meli ya Zanzibar...................

what are the pertinent facts on this tragedy?

1) Mwenye meli alipakia watu na bidhaa zaidi ya kipimo na uwezo wa meli............................huu ni uzembe kwa mmiliki wa chombo, SUMATRA, na serikali ya JMT na ya visiwani.................................BIMA hawawajibiki katika ajali za kizembe kama hii........................

2) Sheria za vyombo vya majini ipo wazi kabisa ajali zote zinazosababishwa na uzembe wamiliki kugharimia fidia..........sasa Mheshimiwa Lowassa anatoka wapi kuingiza BIMA kwenye nakisi bandia ambazo ni kinyume kabisa na sheria??????????????????

3) Kama mwanasiasa huyu angelikuwa ni kiongozi makini na ambaye anajali kweli adha za raia angelishinikiza uwajibikaji wa watendaji serikalini badala ya kututupia changa machoni kwa hizi kejeli zake.............katika masuala ya kimsingi kama haya...................

where does this leave Lowassa with his burning ambition to be our CHIEF CEO comes 2015??????????????

He is definitely unfit and totally unprepared with 21st challenges.........bedevilling this nation................and in....................particular when he fails even to grasp such rudimentaries of our own laws which he had personally helped to patch up.......................................

what is your view on this discourse after you have carefully perused the said article on Mtanzania?

Wana JF/Watanzania wote!!!

Meli ni ya Nani kwanza jibu twahitaji?

Kiongozi gani au viongozi wapi wanaendelea kuliongelea hili swala bila kumtaja ane miliki hiyo Meli Mv.Spice.
 
Mmiliki ni Mh Ayoub mbunge wa CCM. Hebu tumuangalie historia yake. Mwenye historia ya huyu mkubwa atupe tuone je na yeye yupo safi au ni fisadi?
 
Alishasema ni bora ufanye maamuzi yakawa sio sahihi kuliko kutokufanya maamuzi kabisa..
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom