Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Nov 18, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hatimaye tunafuatilia kwa ukaribu mkubwa sana uteuzi wa wabunge na mawaziri wa kulitumikia taifa la Tanzania ambao Muheshimiwa na Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa TZ ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Tumeshaona kateua wabunge watatu akiwapo aliyekua ni mbunge na waziri aliyewahi kushika wizara nyeti ndani ya nchi hii.

  Jamani naomba kupata angalau jibu kama mtu alishashika wizara nyeti na akaboronga! Lakini kiongozi wa nchi bado akaona bado anafaa na kumpa ubunge wa kuteuliwa ni kwamba Raisi hakuona alichofanya huko nyuma? Au ndio tuseme muheshimiwa Raisi analipa fadhila kama ninavyosikia tetesi mitaani? Kule bungeni anakwenda kufanya nini? na Raisi kamteua kwenda kumuwakilisha nani? Najaribu kutafakari kwa kina katika zile wizara nyeti kama vile:
  1. Wizara ya Afya?
  2. Wizara ya fedha?
  3. Wizara ya mali asili na utalii?
  Naombeni mchango wenu kwakua sipati jibu!!!:sad:
   
 2. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Ndallo

  Ni tetesi gani unazisikia Mtaani? au ni zile za mama...................? enhe
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ....mkweee
   
 4. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  teh teh, hata mimi niliwahi sikia hiloooo
   
 5. seams

  seams Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais amnatumia haki yake ya kikatiba kuteua wabunge kumi, usishange uka mwona swahiba wake aliyempandia ndege kwenda Mwanza kumuokoa {MASHA} alipopigwa chini na CHADEMA NYAMAGANA:peace::peace::peace::tea::tea:
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,753
  Trophy Points: 280
  Ndiyo mahari hiyoooo, si unajua mzaa chema, ama kweli JK nona
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyo ndo Rais wa Rahisi.
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani akitoa fadhila kwa mama mkwe kuna tatizo gani hapa?
   
 9. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mama mkwe....!:hippie::hippie:

  hivi ile tofauti ya umri wa kikwete na yule binti...! kikwete sio FATAKI kweli..??
   
 10. N

  NINAHASIRA Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo mama moja kwa moja! waziri wa ............................asili. nchi imeshauzwa hii shauri yenu!! hizo ni kerere za chura hazimzuii tembo kunywa maji!!
   
 11. L

  Lorah JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  mtoto wa Zakia na Kikwete hizi sio kweli ni maneno ya mtaani tu haya...
  Kumbukeni Meghji ni ukoo wa mume wa Zakia...
  Means Kama kikwete kaoa kwa kina Meghji si lazima awe mtoto wa Zakia na kama kaoa kwa upande wa kina Zakia sio lazima awe mtoto wa Zakia....
  kwa ufahamu nilio nao na nikiwa na akili timamu nakataa Kikwete sio Mkwe wa Zakia Meghji...

  Lingine la ufanisi..... Sijui
   
 12. K

  Kachest Senior Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu pekee anayeweza kutuambia ukweli ni mama Salma mke mweza wa tatu ni mtoto zakia au vipi. lakini inawezekana akawa mwanae kwani kashifa zote zile JK kamteua kuwa mbunge shame!
   
 13. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Sija Ona umuhimu wa kumrudisha Medghi Huku Mjegoni na yeye alisema basi inatosha inakuwaje leo tena Rais unaenda mbembeleza arudi wakati kulikuwa na vijana wengi tu wa kuwarudisha huko kama NAPE na ukuu wa wilaya mpe mwingine basi. Kama kweli Serikali ya CCM inadaio Gender Balance na Usawa basi wange wajali vijana chipukizi nao katika kukijenga Chama au ndio ile hali kuwa vijana wengi wa UVCCM walipigia kura Upinzani na hili lilikuwa wazi kwa sababu ya haya haya sasa ya kurudishia wazeee na ndio kujiumiza zaidi 2015
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Huyo mama ana Tuhuma mbili kwanza za Magogo na kutupotezea mipesa yetu ya Utaliii na akaletwa kwenye BOT nako akavurunda sasa simwelewi JK hawasikii wananchi au ndio kulipiza kisasi kuwa wananchi walimchagua Dr.Slaa sasa anaamua kutufanyia kweli na hilo CCM wengi wanalijua hawakumtaka kurudi sasa hajui hata kuji kosha kuwa ngojeni niwaonyesheeni hata japo hamkinichagua ngoja niimalishe uongozi yeye ndie anazidi vuruga kabisaaaa.

  Kama JK umeamua kuwa Rais basi tusikilize kilio chetu tunataka Serikali isiyo na kasoro, Mbona leo baada ya uchaguzi hawa viongozi wa DINI waliokuwa wanashadadia Uchaguzi wa AMINI mbona leo hawasemi Rais achague viongozi waadilifu na wasio na tuhuma yaaani viongozi wengi wa DINI nao ni wanafiki tuu nchini

   
 15. D

  DENYO JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuongoza nchi ni uwezo na uzalendo sio mabavu tunayoyaona sasa harafu wanaiba kila kitu ardhi, hii ni ngwe ya lala salama kwahiyo hyu rahisi anaweka watu wake waibe vizuri unajua sisiem hakuna kunyosheana vidole manake woteeeeeeeeeeeeeeeeee wezi sasa sijui itakuwaje tutafunga mikanda -unasema kiongozi wa dini???? anaeweza kusema ni kakobe na pengo tuuu basi wengine waulize matumbo yao yameshiba au vipi, tunaenda kuzimu sasa.
   
 16. A

  August JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  ndio hivyo tena tuliambiwa tupigie kura vya mbadala lakini naona sisi wenyewe tuna husudisha kuibiwa. hii nikuonyesha ccm haiabadilika wananchi lazima waelewe, hivyo vyama mbadalla waongeze juhudi za kuwa patia elimu ya uraia wa tanzania wengi.n kuwaambia adui a watanzania kwa sasa si udini au ukabili bali ni ufisudi aka ufisadi.
   
 17. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mimi nina hakika huyu mama hajakidhi viwango vya kibunge wala uwaziri :A S cry:wa bure anaosubiria... Lakini kubebana ndani ya CCM ndio kumemwokoa...

  Hebu tukumbuke sakata la BoT jinsi alivyo jitetea:

  Katika kujitetea waziri Meghji anasema kuwa alisaini haraka haraka barua hiyo kwa sababu; kwanza alimwamini sana gavana wake, pili alielezwa na Ballali kuwa fedha hizo zilitumika kwa ‘shughuli muhimu' za Usalama wa Taifa na tatu ni ugeni wake katika wizara hiyo ambao gavana aliutumia kumlaghai ili kusaini barua hiyo.

  Waziri Meghji alikuja kutengua barua hiyo baada ya kuelezwa na katibu mkuu wa wizara hiyo Gray Mgonja kwamba hakuna kitu kama hicho hivyo alikuwa ameingizwa mjini na gavana wake.

  Akaongeza kuwa wanaomsakama ni watu ambao wanaona ‘anawadhibiti' na kukataa kuwapa misamaha ya kodi.

  Akaongeza kuwa pia ni kwa sababu yeye ni mwanamke!

  Lakini sitaki kumhukumu Meghji kwa barua hiyo tu. Na wala kitendo hicho cha kusaini barua hakimaanishi kwamba naye alinufaika na ufisadi huo wa BoT. Sote tunajua kwamba ufisadi huo ulifanyika kabla yeye hajawa waziri wa fedha na hiyo barua ilikuwa ni kwa ajili ya sababu za kiuhasibu tu wakati wa ukaguzi.

  Hata hivyo, wasiwasi wangu ni umakini wa Meghji katika masuala nyeti na uwezo wake wa kudhibiti watendaji walio chini yake. Nasema hivi kwa sababu baada ya Meghji kuondoka Wizara ya Maliasili na Utalii na kuingia Anthony Diallo mwaka 2006 uozo na uvundo katika wizara hiyo ulibainika.

  Tukaambiwa kwamba wizara hiyo iligeuzwa kuwa kampuni ya watu fulani ambao waliimiliki na kufanya watakavyo bila ya mtu yeyote kuthubutu kuwakemea. Hawa walijijengea kahimaya kao na kuwa na nguvu za kimamlaka kushinda hata Serikali.

  Source: Raia Mwema la Februari 6 - 12, 2008


  It can be difficult to say this but it is a sin to stop talking the truth...
   
 18. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  their end is near comrade
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Wanafahamiana na mkwere, unajua wakati Mkwere akiwa waziri a mambo ya nchi za nje Meghji alikuwa mali ya asili? Muulize yale magogo aloyakamata Mtwara yaliishia wapi? na wakati aliwa waziri wa fedha Mkwere alikuwa presidaa, muulize kwanini Balali alipotezwa au kuzuiliwa kuingia nchini na yuko majuu? Lao moja tuuuuuuuuuuuuuu!
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Meghji is very competent she deserves it!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...