Baada ya kuona wateuzi wa mikoa ,hasa wanajeshi (anayekwenda Kagera) ,nimejiluliza hii status quo itakwisha lini?Huyu Kanali anasifa gani za kuongoza mkoa huo?Nikakumbuka haya mambo yalianza tangu...
Napata shida sana kujua nani ana jukumu la kuwajenga na kuwapa Wananchi [Watanzania] nafasi ya kujua na kupata nafasi ya kuvuna elimu [Knowledge] ya utambuzi wa aina ya siasa zinazoendesha Nchi na...
Jamani kuna gazeti moja hapa nchini linalomilikiwa na kikundi fulani cha waislam linalotoka mara moja kwa wiki, An-Nuur, lenyewe linajiita Sauti ya Waislam, kila toleo lake ni kuandika makala za...
Tangu kampeni zianze hapa Igunga chadema tumekuwa tukifanya mikutano mitatu kwa siku,huku CCM ikishindwa kufanya hata mkutano mmoj,zaidi ya ule wa ufunguzi uliofanyika Igunga mjini, tena baada ya...
katika uchaguzi unaoendelea huko igunga leo kuna mwananchi mmoja ameuliza kwanini wachague ccm wakati mbunge wao rostam alijiuzulu kwa kile alichosema ni siasa uchwara ndani ya ccm.Steven wassira...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 07 September 2011
MAISHA binafsi ya Rais Jakaya Kikwete, kabla na baada ya kuwa rais yameanza kuanikwa duniani kote kwa njia ya mtandao ambako anatuhumiwa hata...
SAKATA la madiwani kutishia kumshushia kipigo Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Gabriel Kimolo na Mwenyeykiti wa halmashauri ya wilaya hiyo Erick Ambakisye limechukua sula mpya, baada ya Chama cha Mapinduzi...
Nakumbuka nimesoma historia kwamba babu zetu walipewa nguo, vioo, shanga na pombe wakatoa pembe za ndovu, dhahabu na almasi, leo hii tunapewa neti tunatoa dhahabu ivi kweli serikali yetu kupitia...
Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi...
Tanzania: land of constant complaints
The country seems well, but corruption is rampant
by M.G. Vassanji on Tuesday, September 13, 2011 10:25am - 0 Comments
Marco Longari/AFP/Getty Images
In...
M. M. Mwanakijiji
KAMA wewe ni mwanachama au umewahi kuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi, usiendelee kusoma makala hii. Unaweza ukajikuta unashikilia Roho Mkononi. Makala hii...
Ni vizuri taifa wakati fulani lijikite ktk kujadili uongozi na viongozi wa taifa wa baadaye. Kwa miaka ya karibuni kuna vijana wajiandaa kushika uongozi wa juu wa nchi. Wachache wana vigezo...
Badala ya Maafisa wa Jeshi kuweka mipango ya kifisadi ya kutenga pesa kwa JKT Vijana wasomi wanatakiwa kuwa Wazalendo na kupelekwa kufundisha shule zote Tanzania. Kama kweli tunahitaji uzalendo ni...
Namkubali sana Johnson Mbwambo
na gazeti la wiki hii la Raia Mwema amerudia tena kusema January Makamba na watoto wengine
wa vigogo wanabebwa na kupewa madaraka kitu ambacho kitakuja kuleta...
Nilikuawa napitia hii habari iliyoandikwa baada ya kikao cha nne cha Bunge kuahirishwa mwezi uliopita, ndipo hapo nilipotamani kama vikao hivi vingekuwa vinakaa kila siku, labda Serikali yetu...
Wanajamvi:
Nauliza: hivi hawa ma-DC kama hawapo kikatiba, yaani kazi zao hazijaorodheshwa ndani ya Katiba, jee Budget yao na mishahara inatoka wapi? Ni hela za waliopa kodi wote? Nasema hivi...
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani.
Amani gani vijana wetu...
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita Nd.Msukuma leo ametangaza kujiuzuru uenyekiti wa Halmashauri pamoja na udiwani kwa tiketi ya CCM baada ya kuwa kwenye mgogoro na madiwani wenzake wa...
Mimi ni Mpenzi wa Social networks, na huwa natumia sana Facebook, Tweeter na Jamiiforums.
Mimi ni friends na wanasiasa wengi sana hasa Vijana. Ni Rafiki za Zitto, Ni Rafiki wa Mnnyika, Regia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.