Grand Theft: Vodacom, Airtel, Tigo, Zantel na Sasatel - Wanachochea ufisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Grand Theft: Vodacom, Airtel, Tigo, Zantel na Sasatel - Wanachochea ufisadi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 20, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Well, I know this story is posted somewhere around here. But, after my conversation with a number of wadau, I have come to theorize that the current tax regime for phone companies (telecommunication) is somewhat fueling petty corruption as well as grand corruption. I intend to show in an upcoming report/ story that my theory indeed is reasonably true.

  For those of you who use phone service in TZ help me answer these questions just to give my an idea which I'll try (with the help of others) to prove the existence of a linkage between current phone service in TZ and the prominence of petty corruption.

  a. How many phone lines do you currently own?
  b. What major phone companies do you use?
  c. What would you consider to be your monthly average bills for all the phone services?
  d. How do you afford to pay for all phone services - your phone bill is what percent of your expenditure?
  e. What percent of your income is the the amount of money you spend on phone services?
  f. If you were given an option to have a phone service with an unlimited service for a flat rate for standard services would you continue to have more than one line?

  Standard services: Free local calls, standard rate for interconnection to other carriers, free long distance, free sms and free voicemail?
   
 2. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  In Tanzania phone services are high but most of us do not know it.Think a phone company cheating its subscribers that send a lot of sms to win a 2million cash.This exercise benefits alot this company for many people would do the game without considering the disadvantages.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  ndiyo nataka tuviangalie hivi vitu kwa sababu unajua kwanini tulitakiwa kugomea makampuni ya kikaburu?
   
 4. Ole

  Ole JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 16, 2006
  Messages: 751
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Njia kuu za uchumi hazitakiwi kumilikiwa na watu binafsi. Hii dhana ya kuwaachia kina EL, JK, Mkapa et al inawamaliza Watanzania lakini iko siku yao watakiona cha mtema kini kilichomtoa kanga manyoya.
   
 5. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mzee MM za leo Mzee mwenzagu.

  Leo nimeona nije na Avatar inayo nionyesha sura yangu halisi. Mbweha.

  Najua wengi hawanipendi eti kazi yangu ni kula mifugo yao hasa nyama laini ya Mbuzi. Lakini wasichosema siku zote ni Uhalifu wa wafuga mbuzi walioifanyia jamii yangu!

  Wamevamia makazi yangu na kufanya eneo la kilimo; wameua digididgi na swala wote kwa kitoeo kana kwamba mimi sina meno na njaa, wameua wajomba zangu wengi na kutupa mizoga yao eti nyama ya mbweha ni Haramu, kisha nyika wakazijaza mbuzi na kondoo wa kufugwa.

  Wao walikula digidigi na swala walio halali yangu ya asili na mimi nakula mbuzi wao.

  Hivi kumwibia aliye kuibia ni Nongwa??

  Kuhusu Simu za mkononi,hata mimi nina kilio changu Binafsi.

  Nikituma Dila 500 kwa Mshua na Maza kule homu wanachanjiana nusu kwa nusu 300 nzima itaishia kwenye vocha.

  500 hapa Marekani na pengine mahali popote duniani ni maji ya shingo nahitaji kubeba Box zaidi ya wiki 2 ili nipate 500.

  Ni halali kwa Watanzania kutumia zaidi ya 60% ya kipato chao kwenye simu??

  Wametufanya mbele na nyuma kwenye utajiri wetu wa asili kule Buzwagi!

  Sasa wanatufanya kwa nyuma kwenye simu za mikononi pia???!

  Ni lini tutajinasua kutoka Mbaniko za Mipimbi yao ya udharimu??
   
 6. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Nimeyapenda hayo maswali hasa kipengele f.

  Binafsi nina line 4; airtel, voda 2 na tigo. Tigo na voda ndio zinatumika zaidi. Miaka kama 4 hivi nyuma ndugu yangu aliniambia kuwa SA wanapunguziwa gharama ya simu w/end. Leo bongo tumevuka hapo. Jinsi hali ilivyo itafika muda hatutalazimika kubeba simu 2 wala za line 2 kama sasa. Flat rate is near ila hadi kufika huko watakuwa wameshatufaidi vya kutosha
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  YES I SHOULD SAY ITS A GRAND THEFT!!!!!

  We should consider three factors the factors include ownership of the telecommunication firms, investment guidelines and level of transparency in operations of the company, if locals own a good share in such companies....if the investment guidelines don't offer tax holidays to investors in the sector and if the firms don't cheat regarding whether or not they make profits so they can pay tax, then its obvious that the sector may really add special impetus to GDP growth.

  Numerous promotions for which subscribers pay hugely, it is vivid that the sector is not only collecting massively in revenues but the firms were also making good profit, imagine how many people pay Sh 300 at one time in a promotion that the winner is awarded a vehicle...how much does the company make in exchange of one vehicle how many people pay 20 per cent more after being give airtime on credit
   
 8. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  MM hatuna watchdogs kabisa!

  I remember when I came back to TZ from abroad I was using the same phone, however everytime I add credit for tsh 10,000 it finnishes very fast relative to the equivalent deposit abroad. Nikaanza kuchomea sim card nikifikiri voda wananyonya dola hata simu ikiwa off.

  These days I have doubts that even the tsh 3 kwa sekunde is really true the problem is li nchi letu limeoza, hata ukibaini ubadhilifu ambao naamini upo, utafanya nini? Wakati watu wanaua na wako huru ije kua kwenye wizi wa "vijisenti"!?
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Halafu kitu kingine watanzania hatuna utamaduni wa kuchunguza whether hizi tsh 3 kwa sekunde au 1 tsh kwa sekunde ni kweli
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Yawezekana watu wengine wanaona kuwa ni kawaida tu.
   
 11. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  MM,

  Majibu ya maswali yako hapa chini (in blue)

   
 12. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  MM ulichosema ni sahihi kabisa,mimi pia nina kilio changu,kwa sasa nipo nje ya nchi ambapo airtel inakamata na nina2mia chip ya airtel kuwasiliana na ndg na jamaa huko Tz,cha ajabu na kilichonisikitisha ni kwamba ukipigiwa simu toka nyumbani,airtel wanakukata Tshs. 250 kwa dakika, tofauti na wakati ule wa Zain, kupokea simu ilikuwa ni free!

  Kutuma sms wakati mwingine pia wanakata hiyo 250,sasa huu si wizi wa waziwazi,na kama simu haina salio lakini iko on,huwezi patikana ukipigiwa simu tofauti na wakati wa Zain! naona hawa Airtel nao wamekuja na yao!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kuna watanzania wanaoaamini hivyo kitu kingine MM ni kuwa haya makampuni yalipoambiwa yaji-list kwenye DSE(Dar es Salaam Stock Exchange) walilalamika sana (mpaka waliamua kwenda kuongea na mawaziri mkuu sijui ndio ilikuwa wameenda kumpa 2% share ili akae kimya) kuwa itawafanya siri zao zote ziwe open nikawa najiuliza siri gani
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu mmoja kanitumia namba zake za simu; amenipa namba tatu za mkononi!!! huu ni wizi tu!
   
 15. W

  WildCard JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Watanzania kwa kuibiwa kwa "hiyari" yetu wenyewe ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Sababu kubwa ni kwamba tunaendesha maisha yetu kwa pesa haramu. Wengi tunaiba, tunahongwa, tunatapeli,.......Sishangai matumizi haya ya simu. Nenda kwenye karo za shule kwenye shule binafsi, nenda kwenye bei za vyakula, vinywaji, nauli za mabasi, "gesti" zetu, kila mahali mambo yanaenda kiharamu tu na hakuna anayelalamika wala kuandamana!?
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Wildcard, swali kubwa ni kwanini?
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji,
  Watanzania hatupati pesa kwa jasho letu halisi. Hatuna muda wa kuhoji matumizi haya! Kwenye simu tulianza kulipa kwa dakika, tukaja sh sita kwa sekunde au zaidi ya hapo kama mitandao ni tofauti, sasa hivi imepungua kidogo. Tuliowaweka pale wahoji kama unavyohoji wewe sasa, yaani TCRA, hawaifanyi kazi hiyo. Badala yake wameongeza asilimia yao pale ambayo unailipa wewe mtumiaji!
   
 18. Ntumami

  Ntumami Senior Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkipunguza kidogo matumizi ya simu, yaani kila mtazania atumie just 80% ya matumizi yake ya sasa kwenye simu, mnawalipa dowans. mh!
   
 19. k

  kalamuzuvendi Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kwa kukusaidia MM, facts kuhusu mshahara na matumiz ya mkuu hapo juu ni:

  Total Income = 3,000,000/=
  Total Expenditure = 1,500,000/=
  Phone Services = 150,000/= (5% of Total Income-3,000,000,10% of Total Expenditure - 1,500,000)
   
 20. S

  Selemani JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Markets.

  Ushauri wa bure, ukifanya hiyo research yako usisahau kuweka comparative analysis na nchi nyingine. Si unajua baana, for validity purposes.

  And tusisahau implications of "market penalties" tunapojaribu kupoliticize mijadala mingine. Unless, we are returning to central planning and regulate kila kitu.
   
Loading...