Mlichagua, mkadharaulika. Siasa uchwara kutoka katika chama uchwara zimewaumiza. Kura yako kesho ndio faraja ama mateso kwako ndani ya miaka mitano ijayo. Kila la heri, wapiga kura wa igunga. Ombi langu: Sema NO kwa KAFUMU. Na NO KWA CCM