Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by President Elect, Aug 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
1. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#1
Aug 21, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.

Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.

Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!

2. MBURE JASHA

MBURE JASHA JF-Expert Member

#2
Aug 21, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 200
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
masaburi yako

3. PakaJimmy

PakaJimmy JF-Expert Member

#3
Aug 21, 2011
Joined: Apr 29, 2009
Messages: 16,236
Likes Received: 308
Trophy Points: 180
Kwanza jina lako lina makosa ya kiufundi!
Lakini pia , who are you by the way, kiasi uone kuvaa magwanda itakuwa issue kwa jamii?

4. T

Tetere Enjiwa JF-Expert Member

#4
Aug 21, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 217
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Natu subiri tuone.

5. POMPO

POMPO JF-Expert Member

#5
Aug 21, 2011
Joined: Mar 12, 2011
Messages: 6,694
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
hatukuhitaji kaa huko huko kwenye magamba.... Msekwe vipi mmempa siku ngapi?
HATUKUHITAJI hatuna haja na watu wanaotumia kufikiri aliosema Masaburi..

6. olele

olele JF-Expert Member

#6
Aug 21, 2011
Joined: Dec 2, 2010
Messages: 814
Likes Received: 339
Trophy Points: 80

exchuse us, who are u any way

7. M

Mnyakatari JF-Expert Member

#7
Aug 21, 2011
Joined: Oct 25, 2010
Messages: 1,555
Likes Received: 485
Trophy Points: 180
Unafikiri kwamba kwa wewe kufanya hivyo kuna uzito wowote?Kwa nini?Jambo kubwa na la pekee na ambalo liko wazi ni kuwa chadema ikishinda itakuwa imepata mbunge ambaye ataongeza nguvu ya kambi rasmi ya upinzani ndani ya bunge na hata nje ya bunge.Vilevile ushindi kwa cdm utawapatia wana igunga mwakilishi ambaye atakuwa ni mhimili wao mkubwa kuwasemea na kuwatetea kwa dhati kama ambavyo ni kawaida kwa wabunge wengine wa cdm.Haya ni maendeleo yenye tija kubwa kwa igunga na taifa kwa ujumla kuliko kuvaa gwanda kwa president elect.

8. mfereji maringo

mfereji maringo JF-Expert Member

#8
Aug 21, 2011
Joined: Nov 19, 2010
Messages: 1,003
Likes Received: 19
Trophy Points: 135

msekwa nae ni mwizi sasa huko magambani nani msafi? ndo maana alishindwa kuwapa barua mapacha watatu.

9. m

mzee wa njaa JF-Expert Member

#9
Aug 21, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 1,368
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Naona unatafuta umaarufu tu.....Ondoa upupu wako humu, baki kwa Magamba CDM haitaki wagonjwa wa akili. Tatizo lenu mnatumia makalio katika kufikiri.

10. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#10
Aug 21, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280

11. Chakaza

Chakaza JF-Expert Member

#11
Aug 21, 2011
Joined: Mar 10, 2007
Messages: 23,650
Likes Received: 21,865
Trophy Points: 280
Walewale mnaoishi ulimwengu wa kufikirika. Pole sana.

12. Mungi

Mungi JF Gold Member

#12
Aug 21, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180

hahaaa! Malaria Sugu huchoki na pumba zako

13. Mkuu wa chuo

Mkuu wa chuo JF-Expert Member

#13
Aug 21, 2011
Joined: Feb 3, 2011
Messages: 7,253
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
wacha kufikiri kwa kutumia masaburi...

14. Wambandwa

Wambandwa JF-Expert Member

#14
Aug 21, 2011
Joined: Dec 3, 2006
Messages: 2,240
Likes Received: 337
Trophy Points: 180

Huwezi kupewa 'gwanda' until you prove beyond reasonable dought that you are one of us!

15. ADAM MILLINGA

ADAM MILLINGA Senior Member

#15
Aug 21, 2011
Joined: Apr 27, 2011
Messages: 117
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
we nan adi kuja kwako cdm watu washangae hacha upuzi kama huna thread usikurupuke mshirikishe shemeji alie muoa dada yako

16. zumbemkuu

zumbemkuu JF Bronze Member

#16
Aug 21, 2011
Joined: Sep 11, 2010
Messages: 8,999
Likes Received: 582
Trophy Points: 280

kuna wakati nafikiria hivi vyuo vifunguliwe haraka maana mkiwa mtaani ni tatizo kubwa, japo nivyuo vya kata lakini vinasaidia kupunguza uchafu huku mtaani kwa kuwaweka busy. vp wewe upo chuo cha kumbukumbu ya mwl nyerere pale kigamboni au?

17. ADAM MILLINGA

ADAM MILLINGA Senior Member

#17
Aug 21, 2011
Joined: Apr 27, 2011
Messages: 117
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mpumbavu hata umtwange kwenye kinu cku saba na badae umpete hatabaki vilevile upumbav wake hauta mtoka

18. zumbemkuu

zumbemkuu JF Bronze Member

#18
Aug 21, 2011
Joined: Sep 11, 2010
Messages: 8,999
Likes Received: 582
Trophy Points: 280
kweli? ha ha ha ha ha ha! wee jamaa ndo umeua kabisa, mwenzio anataka ujiko kwa upumbavu wake.....

19. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#19
Aug 21, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Bwana eh, eti president elect, sijui ndo nini sasa.

20. m

mwinukai JF-Expert Member

#20
Aug 21, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 1,448
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
Hatutaki watu wanaofuata upepo eti utavaa ikihinda mbona unkuwa mtu wa kufuuta upepo we ni mtu mzima CHADEMA hatuhitaji vigeugeu kama ninyi SHIBUDA tuliye naye anatutosha.

Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...