Igunga: Nani kasema Rostam kaachana na siasa uchwara? Helikopta za CCM amezileta yeye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igunga: Nani kasema Rostam kaachana na siasa uchwara? Helikopta za CCM amezileta yeye

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Zak Malang, Sep 30, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni.

  Zile helikopta mbili za CCM ni yeye ndo alizileta na kuzigharamia. Halafu alijidai anaachana na siasa uchwara! Thubutu! Tatizo ni kwamba ukishakuwa fisadi ndani ya CCM katika nchi hii, basi unakuwa mtumwa tu, utafanya kila kazi unayoambiwa bila kuuliza. lau sivyo........
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nami nimesikia kutoka kwa jamaa yangu aliye Igunga kwamba ni yeye RA ndiyo alizileta hizo helkopta za CCM!
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,983
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  wanajua namna anavotuibia na uharamia wake! Walimtisha kumfilisi ikabidi asalimu amri.
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  ccm ni maslahi binafsi mbele
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  amefurahi sana kusikia TANESCO wanamlipa hela za DOWANS hvo kaona sio iiiiiiiisshhhhu
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,527
  Likes Received: 2,451
  Trophy Points: 280
  Una uhakika gani?
   
 7. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hivi kukodi Helicompta mbili kuna gharimu bei gani ukilinganisha na kiasi atakacholipwa na CCM kutokana na mkataba ya TANESCO? Nafikiri CCM wameamua kutumia kisingizio cha mkataba kumuwezesha Rostamu kukusanya hela ya kampeni mwaka 2015.
   
 8. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,464
  Likes Received: 1,855
  Trophy Points: 280
  Baba yako akiachana na mama yako haiondoi wajibu wa yeye kukuhudumia kama kukulipia shule n.k.Hivyo Rostam alisema ameachana na siasa uchwara lakini alikiri kwamba ataendelea kuwa mwana CCM mwaminifu.Kama ni kweli yy ndie ametoa hizo helkopta basi ni wajibu wake maana mwanachama hawezi kukiombea chama chake mabaya,hajawa Shy-rose bhanji.Acheni wivu,nyie mbona mna Ndesa anawapa helkopta hatusemi? Au mnataka kusema ndesa pesa ni msafi?.Mbowe amekwisharudisha pesa ya penshen za wafanyakazi NSSF?
   
 9. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa uchwala ni nguzo ya CCM hawaswezi kujinmasua ktk hilo.
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hizo zitarudi kupitia 94bn/- za Dowans! When a fidadi always a fisafi!
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo sasa hivi Magamba yameachana na "siasa uchwara" baada ya lifisadi limoja (RA) kujivua gamba lililokwama kiunoni?
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  I can't biliv this postcomes from you, sasa ulivyyokuwa unalialia gamba gamba kumbe ulikuwa unawatapeli watanzania au kwa sababu umejificha nyuma ya hii ID basi unafikiri hujulikani?????? Aisee nyie vijana wa leo wa CCM na hizi siasa zenu mnatupeleka siko kabisa. Yaani mchana gamba usiku ahh! nilikuwa natania tu bwahahahah ahaha ahahaha!!!!!!!!!!! Rostam ndiyo kidume chenu huko CCM hahah ahahahahah.

  Mkuu ubnatia aibu mno, si ni wewe juzi juzi ulikuwa unatuhumu watu kwamaba wametumwa na mafisadi ukuhujumu? Sasa iweje unawasifia tena wale uliowaita mafisadi?
   
 13. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kama walivyo CCM na CUF hawaachani mpaka kufa, ndoa yao ni nzuri sana na hivi karibuni watapata mtoto.
   
Loading...