Media itakayofanya Coverage ya uchaguzi Igunga Live! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Media itakayofanya Coverage ya uchaguzi Igunga Live!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mathias Byabato, Oct 1, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Wadau
  naomba kujua hivi ni chombo gani cha habari hapo kesho kitakachorusha live bila chenga uchaguzi wa igunga,kuanzia upigaji kura na matokeo bila upendeleo.

  nasikia kule kuna utitiri wa waandishi wa habari mpaka wa social media wapo

  hivi JF imewakilishwa na nani

  napendekeza JF adm wahakikishe tunatumia post moja kupata kinachoendelea na matokeo ambayo hawajawa verified wayaminye kwanza

  Nawasilisha
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  katika moj ya thread za leo kutoka kwa mdau wa star tv na RFA ya mwanza kasema hivi:

  "Ila patakuwa na Updates on every top of the hour, Timu ya uhakika ipo Igunga kuwafahamisha watanzania. So msikose kutazama Star TV hapo kesho kwa update za Igunga mpaka saa sita Usiku."
  yahya mohamed star tv


   
 3. m

  mkanyila Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Tupeni taarifa za uhakika kesho tutakuawa ktk luninga zetu kufuatilia hatua kwa hatua.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Jf inatosha. Wengine wote wezi.
   
 5. N

  Ndole JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo umesema. Siwaamini sijui nani hao star, sibuka, na wengine. Mimi nitakuwa hapa hapa JF
   
Loading...