Elections 2010 Igunga: CCM kwisha habari yake

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
1,195
CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV.

Peeeeopleeeeeees.............
 

Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,939
2,000
kwanini ccm washinde!? hawana sababu ya kushinda Igunga NAAAMINI CDM WATASHINDA!
KUOINYESHA MIAFRIKA SIVYO TULIVYO!
 

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,320
1,195
kwanini ccm washinde!? hawana sababu ya kushinda Igunga NAAAMINI CDM WATASHINDA!
KUOINYESHA MIAFRIKA SIVYO TULIVYO!

Ni ndoto za mchana , na kesho kutwa hutaonekana humu ndani ! CDM si chama cha siasa ni WANAHARAKATI wa siasa
 

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,334
2,000
mbinu iliyomaki ni kama kibaki na odinga chini ya jaji kivitu


Mkuu umenikumbusha Kivuitu. Wakati wakenya wanauwana kwasababu alimtangaza mgombea aliyeshindwa, jamaa na Moi walikuwa Ngurdoto wanakula raha! Nashangaa kwann hakupelekwa The Heague kama wenzie!
 

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
0
Unajua ccm ina matatizo sana mtaji wake ni kufanya rafu kwenye uchaguzi..cdm msilalamike si mlisha jua mbinu wanazofanya zuieni uovu wao..........all the best cdm.
 

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,334
2,000
Ni ndoto za mchana , na kesho kutwa hutaonekana humu ndani ! CDM si chama cha siasa ni WANAHARAKATI wa siasa


Inawezekana kabisa unacho"kinena!". Wanahahakati wa kisiasa wenye lengo la kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye makucha ya mafisadi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom