Elections 2010 IGUNGA, CHADEMA yakwaa kisiki yatafuta pa kutokea

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa
umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake
huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan
mpya ya Piga tatu kwa pamoja( huku pombe huku makamba na huku kafumu

images

images
 
Sasa mkuu mbona haueleweki, kisiki kiko wapi hapo??
Hao watoto waliovaa kijani na njano ni kisiki?? Hivi hao watoto wana kadi za kupigia kura?? Au watapewa zile zilizohalalishwa na polisi...
 
Vipi hapo napo walijaribu kuuliza wafuasi wa Chadema wapo wangapi!, Ili wajue kwamba wote ni wa kwao au wameenda kuwashangaa wanavyo rukaruka tu.
 
Thread ya kijinga!!!!!!!!!!!!!..............kalale km bado hujakua
 
  • Thanks
Reactions: LAT
mimi nikisikia mtu anaongelea Chama Cha Mafisadi a.k.a Magamba nahisi matapishi maana watu wake wooooooooote hakuna aliye na akili nzuri hata kichwa cha NAZI
 
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa
umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake
huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan
mpya ya Piga tatu kwa pamoja( huku pombe huku makamba na huku kafumu

images

images

Mafuso mangapi mmeyatumia kukusanya huo umati wote? na pilau ilitosha? na Mkome kuwatoa watoto wa shule kwenye masomo
 
Jamii Forum hata muwe mara elfu kama mnavyo jitokeza kwa kuwanadi hao CHAMA CHA MADEM,hamtoweza kufika kokote,yuko wapi Padri Slaa,kama aibu ingekuwa inauwa,basi mngekufa,maana huyo Babu yenu naona kaugua ukichaa kila siku anapayuka,nani wa kumpa urais Dr wa kupiga Vinanda na kuimba kwaya,
 
Vipi hapo napo walijaribu kuuliza wafuasi wa Chadema wapo wangapi!, Ili wajue kwamba wote ni wa kwao au wameenda kuwashangaa wanavyo rukaruka tu.
Tehe tehe tehe, hawawezi kabisa kuuliza maana kuna kauli mbiu fulani hawataki kuisikia.
 
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa
umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake
huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan
mpya ya Piga tatu kwa pamoja( huku pombe huku makamba na huku kafumu

images

images

You mean kwa CCM A na B?
 
Jf members wangekuwa na veto CCM ingeshindwa.
Asikudanganye mtu..wengi huku ni wanachama wa CCM...hapa wanajikosha tu! Siku ya kupiga kuwa wote huwa wanakipigia kura chama chetu cha ukweli!
 
Jamii Forum hata muwe mara elfu kama mnavyo jitokeza kwa kuwanadi hao CHAMA CHA MADEM,hamtoweza kufika kokote,yuko wapi Padri Slaa,kama aibu ingekuwa inauwa,basi mngekufa,maana huyo Babu yenu naona kaugua ukichaa kila siku anapayuka,nani wa kumpa urais Dr wa kupiga Vinanda na kuimba kwaya,
Naona unakaribisha matusi maana ukimgusa hiyo mzee saizi yake ni mkuu wa nchi hivyo watamchokonoa sasa hivi halafu ujute, wewe tema sera acha mivuke na matusi.
 
Asikudanganye mtu..wengi huku ni wanachama wa CCM...hapa wanajikosha tu! Siku ya kupiga kuwa wote huwa wanakipigia kura chama chetu cha ukweli!
Vipi mkuu Dowans wanalipwa lini? Umeme nao hadi mvua zinyeshe ndiyo msingizie mefanya juhudi?
 
kipindi cha nyuma hapa palikuwa kweli ni mahali pa great thinker lakini siku hizi sijui kuna watu wanamna gani humu ndani
 
Back
Top Bottom