Ni ukweli usiopingika kuwa, matokeo yote yamepokelewa laikin hadi sasa tume imeshindwa kutangaza matokeo kutokana na mshituko walioupata baada ya kujumlisha kura zote, tume ilyojitapa kutangaza...
Mahali tunapoelekea katika siasa hapa tanzania bara za kutumia nyumba za ibada kufanya kampeni taifa letu litaangamia muda si mrefu, mfano ni siasa za igunga na matokeo yake.
baada ya kuangalia nchi na siasa inavyokwenda sasa nimeamua kuipa nguvu chadema moja kwa moja. hatua nitakazo chukua wiki hii ni kuchukua kadi ya chama. na kutoa mchango wa hali na mali kwa chama...
Habari zenu wanathnker hebu tuambie nani amechukuwa huko igunga mana siunajua tena nje yenu matokeo yanakuja kutoka mshindi tumeshamjua vipi huko igunga chama gan ninasemekana nimeongoza au...
waliojiandikisha walikuwa 171000 lakini walipoiga kura ni wachache kuliko mwaka jana, in my opinion Kitendo cha Rage kupanda jukwaani na bastola halafu na siku ya pili watu wa CCM kuwarushia watu...
Kadri matokeo ya upigaji kura yanavyozidi kutolewa na vyombo vyetu vya habari, chama cha CUF kinatajwa katika kila matokeo hata kama kimepata sufuri au ziro. Huu ni upendeleo, mbona vyama vingine...
Sawa CCM wameshinda Igunga, lakini siyo kwa kishindo kama vile wangependa au kawaida yao ya zamani. Kwa lugha yoyote ile CDM ndiyo chama kinachokuwa kwa kasi na kinaonekana ni unstoppable...
Kwa mujibu wa Renatus Mutabuzi mawasiliano nje kidogo ya mji hakuna. Hii inashangaza hata vodacom haioni kuwa charity starts at home?Kweli wana igunga hata picha hamuoni? Yaani mngechagua hata...
nimekua nikifuatilia uchaguzi wa Igunga kwenye televisheni mbalimbali toka asubuhi lakini cha kushangaza ile tunayoifahamu kama televisheni ya Taifa ndo kwaanza haitoi hata updates ya...
Naomba sana sana kwa Mwenyezi Mungu CHADEMA ishinde, maana hayo ndiyo matokeo yatakayoifanya serikali ya CCM ianze kuwekeza katika kuwahudumia wananchi zaidi kuliko kujitajirisha kama wanavyofanya...
Golden Words of Hitler:
When you are in light, everything will follow you. But when you enter dark, even your own shadow will not follow you. That is life.
God made relatives, Thank God we can...
Nilikuwa napata moja moto moja baridi nikamsikia mtu mmoja mzima wa umri akashangaa chama tawala CCM kuambulia kura sifuri maana yake ata wakala wao amewageuka!
Mzee akamalizia kwa kusema "CCM...
kama ingekuwa kwa wenzetu huko majuu, Rustam angekuwa sambamba na paparazzi kila alipokanyaga, lakini TV zetu hazijasema lolote kuhusu mwanasiasa huyu maarufu wa Tanzania.
Hem mtu aniambie...
Uchaguzi wa Igunga utaamuliwa siku chache zijazo. Mshindi atashinda siyo kwa uzuri wa hoja tu bali pia kwa mbinu na mikakati. Kama nilivyosema kwenye makala nyingine uchaguzi wa Igunga utaamuliwa...