Kwa siasa hizi za UDINI TZ bara ukombozi upo Mbali

propagandist

Member
Aug 12, 2011
93
9
Mahali tunapoelekea katika siasa hapa tanzania bara za kutumia nyumba za ibada kufanya kampeni taifa letu litaangamia muda si mrefu, mfano ni siasa za igunga na matokeo yake.
 
Omr

JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99
Mahali tunapoelekea katika siasa hapa tanzania bara za kutumia nyumba za ibada kufanya kampeni taifa letu litaangamia muda si mrefu, mfano ni siasa za igunga na matokeo yake.
Sasa mbona unaweka mambo nusu nusu, mfano gani huo wa Igunga na matokeo gani? Eleza vizuri ujibiwe.
 
propagandist

Member
Aug 12, 2011
93
9
chadema wametumia makanisa mf. paroko katika kanisa aliwatangazia waumini wake kuwaambia chama chetu ni CDM nendeni mkapige kura BWANA awatangulie na Msikiti mkuu nao uliwatangazi msiwape kura CDM kwa kuwa wamemvua hijab DC.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,276
37,483
chadema wametumia makanisa mf. paroko katika kanisa aliwatangazia waumini wake kuwaambia chama chetu ni CDM nendeni mkapige kura BWANA awatangulie na Msikiti mkuu nao uliwatangazi msiwape kura CDM kwa kuwa wamemvua hijab DC.

Hapo kwenye red mkuu ni wapi na lini hayo yalitamkwa? Ya BAKWATA hayana ubishi kwani walifanya press conference.
 
Blandes

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
385
203
chadema wametumia makanisa mf. paroko katika kanisa aliwatangazia waumini wake kuwaambia chama chetu ni CDM nendeni mkapige kura BWANA awatangulie na Msikiti mkuu nao uliwatangazi msiwape kura CDM kwa kuwa wamemvua hijab DC.

propagast@tudhibitishie iyo paroko,make la bakwata kla mtu aliskia
 
Unyanga

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
402
83
tunakoelekea au ndo tayari tupo kwenye hili suala la dini? Haipendezi viongozi wa dini kuwa political affiliated ila inapotokea kwa chama fulani kukashifu au kufanya jambo lolote lenye lengo la kudhalilisha dini, kwangu mie dini kwanza kisha siasa baadae nitawapinga wazi wazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom