Elections 2010 Star tv live.;updates za matokeo Igunga

star tv waanza kurusha matokeo na wameahd kukesha.
Nawakilisha

Asante kwa kutujuza. Nadhani wenzetu mlio katika position za kutupasha kwa kina mliopo nyumbani (TZ) mtandelea kutupa habari kupitia JF ili na sisi tulio mbali na nyumbani (lakini wenye tamaa ya kufuatilia kwa karibu yanayotokea Igunga) tuhabarishwe. Narudia tena, asanteni sana. Nasali uchaguzi huu utume ujumbe kwa magamba kwamba wanayoyatenda kwa watanzania hayakubaliki.
 
Hawa star tv wanasema hawatangazi matokeo mpaka wapate ruhusa!Ruhusa toka kwa nani tena?as a result wanaendelea kutupa matokeo ndaza
 
ofisi.k/tarafa igunga
Kituo 5 cdm 84 ccm 87
Kituo 4 cdm 88 ccm 61
Kituo 3 cdm 73 ccm 71
Kituo 2 cdm 90 ccm 87

STORE ZA PAMBA
Kit 5 cdm 66 ccm 81
Kit 3 cdm 84 ccm 79
Kit 2 cdm 72 ccm 70
Kit 1 cdm 81 ccm 86

Shule ya Msingi IGUNGA
Kit 1 cdm 84 ccm 64
Kit 2 cdm 63 ccm 67
Kit 3 cdm 70 ccm 66
Kit 4 cdm 91 ccm 70
Source Star tv
 
Srartv mabwabwa tu, sijui kwa nini hawajiamini. Kutangaza matokeo ya awali wanajivuta vuta. Ebu ngoja nijicheki na itv angalau wao hawana longo longo.
 
Srartv mabwabwa tu, sijui kwa nini hawajiamini. Kutangaza matokeo ya awali wanajivuta vuta. Ebu ngoja nijicheki na itv angalau wao hawana longo longo.
Wanajitetea kuwa wanaogopa kutoa matokeo ya kata tatu ambzo wana takwimu
Itobo
Nkinga
Itumba kama cjakosea mpaka Mkurugenzi wa uchaguzi ayabariki.
 
Srartv mabwabwa tu, sijui kwa nini hawajiamini. Kutangaza matokeo ya awali wanajivuta vuta. Ebu ngoja nijicheki na itv angalau wao hawana longo longo.


mkuu hujuwi star tv inamilikiwa na kada wa ccm itv wametangaza cdm inaongoza hao wanaogopa wanaweza towa matokeo mapema ikashindikana kuchakachuwa
 
nimesikia huyu magamba kaandaliwa aje kugombea ili jeikei avunje baraza lake la mawaziri ampe uwaziri wa nishati na madini ili kama shukrani kwake jeikei anajua ni nini wamefanya pamoja na huyu bwana alipokuwa waziri wa nishati enzi hizo,Rose wa tamu aliambiwa apishe ni mpango uliosukwa na pia hata matokeo watachakachua ili apite lnk wananchi wameshashtuka chadema lindeni matokeo lindeni kura zenu, sio bure mtu katoka madini huko kaacha mijisenti aje kugombea ubunge, wenyewe mtaona.msiniulize source ila habari ndio hiyo.yakitimia mtaniambia.
 
Srartv mabwabwa tu, sijui kwa nini hawajiamini. Kutangaza matokeo ya awali wanajivuta vuta. Ebu ngoja nijicheki na itv angalau wao hawana longo longo.
gamba diallo aliwamind kipindi kile kaanguka af wao bado wanaendela na matangazo ya uchaguzi ndo mana leo wanapiga porojo tu
 
Wadau hata sasa najaribu kutune kila TV station za hapa bongo sioni update yoyote,nachi Star tv lakini wanapiga mziki tu!au ndo wameamua kusitisha TZzote ili wapate fusa ya kuchakachua,Igunga kama kuna mwana JF tunaomba msaada wako wa update hata kama saa nane we nenda hewani,au wamewaktia megawatt?+ jairo?maana nasikia kuna kipindi Ngeleja alikuwa ametoka baadae nikasikia amerudi.
Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Sisi huku umeme wamekata toka saa 12 jioni haaadi hivi sasa ninavyopost thread hii yapata saa6 inaelekea saa 7 usiku umeme haujarudi lakini naishukuru JF inanipa nini kinaendelea Igunga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom