CCM write off!

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,117
Nilikuwa napata moja moto moja baridi nikamsikia mtu mmoja mzima wa umri akashangaa chama tawala CCM kuambulia kura sifuri maana yake ata wakala wao amewageuka!

Mzee akamalizia kwa kusema "CCM write off" nkakumbuka kwenye fani ya uhasibu huwa tunasema solution to bad debts is to write them off.
Naona imefika wakati watanganyika kuwawrite off ndo ikawa comment yake ya mwisho. Ni mzee wa kama 60 years hivi.

CCM kama mnachukiwa hata na waasisi wa chama (huyo mzee ana mpaka kadi ya TANU youth leaque)

Tungoje matokeo ya Igunga
 

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
185
Anybody can come out a winner in Igunga let wait for the final result, But CCM days are clearly numbered at the moment!
 

ndagu

Member
Nov 16, 2010
10
6
Hali imegeuka na sasa inaonekana CCM wameanza kuongoza kwa kumuacha Chadema kwa mbali sana! Mambo yamegeuka maana kuna kata inaonekana kuna tofauti ya kura karibu 1000 CCM wako juu kwa CHADEMA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom