Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

KURA YA MAONI: VOTE Online IGUNGA ELECTION

  • Total voters
    93
  • Poll closed .

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Latest UPDATES:
Waliochukua fomu hadi sasa Chadema 12 CCM 13 CUF 1 kama ifuatavyo;

CHADEMA (Mwisho wa kuchukua fomu kesho trh 16/8)

1. Kajua Sebastiani
2. Marco Amos
3. Kahema John,
4. Buzinza Magego,
5. Dickson Samsoni,
6. Anwari Luhumbi,
7. Erasto Tumbo, aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP
8. Joseph Kashindye Mwandu, (kaongoza kura za maoni)
9. Juma Katigula,
10.Frank Matto,
11.Joseph Mapalala
12.Juma Chaha.

CCM (Walifunga pazia la kuchukua fomu trh 13/8)

1. Amina Ally Said,
2. Ngassa Nicolaus,
3. Shams Feruzi,
4. Adama Brauni
5. Shell David
6. Dk. Dalaly Peter Kafumu (kaongoza kura za maoni)
7. Makoba Mchenya,
8. Joseph Omary,
9. Self Hamis Gulamaly
10.Hamis Shaabani
11.Nathan Mboje
12.Hamadi Safari
13.Paul Ndohele.

CUF (Wamefunga pazia na wamempendekeza Mahona)

1. Leopard Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.
 
Majimbo ya Kisesa na Igunga yako Wilaya moja? Nataka tuu kufahamu Erasto Tumbo kama kwao ni Igunga
 
Waliochukua fomu hadi sasa ni

CHADEMA
1. Gideon Kwandu
2. Anwari Luhumbiza Kashaga
3. Erasto Tumbo, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP

CCM
1. Amina Said Fundikira
2. Shamshu Ibrahim
3. Adam Kamange
4. Ngasa George.

CUF
1. Lucas Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.

i will go for Erasto Tumbo - though jamaa huyu anajulikana sana JIMBO LA SIKONGE but still Igunga he can do the job as well.
 
Waliochukua fomu hadi sasa ni

CHADEMA
1. Gideon Kwandu
2. Anwari Luhumbiza Kashaga
3. Erasto Tumbo, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP

CCM
1. Amina Said Fundikira
2. Shamshu Ibrahim
3. Adam Kamange
4. Ngasa George.

CUF
1. Lucas Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.

Hivi huyo Shamshu ni mhindi? Kama ni mhindi basi ndiye atakayechukua. Watu wa Tabora ni kama wa morogoro na Singida wakiona rangi ya mhindi tu wanachanganyikiwa na logic zote zinapotea. Otherwise, Erasto Tumbo is a good choice
 
UMESEMA KWELI Hahahaaaaa!...wenzetu kweli wakiona tu nywele za tofauti akili zinawaruka...lol!
 
Si laima iwe kwao, sisi ni wa Tz Bwana. Kama watu wangeangalia kabila na mahali anapotoka mtu Chambiri mkurya asingechaguliwa Babati

Kama wewe ukoo wako ni Mbalinga, Wambalinga wote mnaweza kuwakilishwa kwenye kikao cha viongozi wa koo na Mwakibinga?
 
Waachieni wana Igunga wenyewe wachague yule wampendae ambae wataona ataweza kuwawakilisha kwa kupeleka vilio vyao bungeni na kuleta maendeleo bora kwa jimbo hilo.

Watu wa Igunga tumieni busara zenu kupata kiongozi wenu Bora
 
LEOPARD LUCAS MAHONA WA CUF, huyu anaweza kushinda kwanza anajulikana kwa kuwa aliishagombea na Rostam akapata kura LEOPARD MAHONA 11,000. ROSTAM 32000.
 
Waachieni wana Igunga wenyewe wachague yule wampendae ambae wataona ataweza kuwawakilisha kwa kupeleka vilio vyao bungeni na kuleta maendeleo bora kwa jimbo hilo.

Watu wa Igunga tumieni busara zenu kupata kiongozi wenu Bora
Mbona wewe unatuingilia mambo ya Arusha wakati wewe umeolewa uarabuni...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom