Chama cha CUF kinapendelewa katika kutangaza matokeo uchaguzi wa Igunga

  • Thread starter President Elect
  • Start date

President Elect

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
690
Likes
6
Points
35
President Elect

President Elect

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
690 6 35
Kadri matokeo ya upigaji kura yanavyozidi kutolewa na vyombo vyetu vya habari, chama cha CUF kinatajwa katika kila matokeo hata kama kimepata sufuri au ziro. Huu ni upendeleo, mbona vyama vingine kama CHAUSTA, DP, UPDP ambavyo havikuambulia kitu havitajwi!

CCM kaeni mkao wa kula bata Igunga, japo ndugu zetu CDM wametuandalia karamu ya ushindi.
 

Forum statistics

Threads 1,235,066
Members 474,351
Posts 29,211,286