waliojiandikisha walikuwa 171000 lakini walipoiga kura ni wachache kuliko mwaka jana, in my opinion Kitendo cha Rage kupanda jukwaani na bastola halafu na siku ya pili watu wa CCM kuwarushia watu Risasi hadharaniinawezekana ikawa ni moja ya sababu zilizopunguza sana ushiriki ktk uchaguzi huu pamoja na changamoto nyingi za watu kushiriki ktk kampeni. Bastola ya Rage inaweza kuwa ilitumika kama ni mbinu chafu iliyotumiwa na CCM kuwatisha wapiga kura na hasa ukizingatia na tukio la siku ya pili la mashabiki wa Chadema kurushiwa risasi live na bila ya polisi kuchukua hatua yeyote mpaka leo hii pamoja na kukabidhiwa maganda ya risasi kitu ambacho kingeweza kuwatia hatiani wahusika. watu wa sheria labda mtusaidie ktk hili kisheria limakaaje na hasa ukizingatia haiwajai kutokea ktk historia ya nchi mwanasiasa kupanda
kwenye juu na slaa ya moto.
kwenye juu na slaa ya moto.