Mshituko wa matokeo ya Igunga wasababisha yasitangazwe kwa wakati!

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Ni ukweli usiopingika kuwa, matokeo yote yamepokelewa laikin hadi sasa tume imeshindwa kutangaza matokeo kutokana na mshituko walioupata baada ya kujumlisha kura zote, tume ilyojitapa kutangaza matokeo ndani ya siku ya uchaguzi! mvua ni kisingizio cha kiutendaji ila ni aibu kuona sehemu kama igunga yenye kata kama 24, kuna vituo 410 tu, je mmeshindwa nini?zambia mliwaona?matokeo ya nchi nzima yamechukua mda gani?NA MOJA YA SABABU ZINAZOLETA VURUGU SEHEMU YOYOTE YA UCHAGUZI NI UCHELEWESHAJI WA MATOKEO NA NDICHO TUME WANAKIFANYA!
 
hadi sasa kuna vurugu igunga sababu ya kuchelewesha matokeo!
 
Matokeo yanavyochelewa ndivyo yanavyoamsha hisia za kuibiwa.
 
hadi sasa kuna vurugu igunga sababu ya kuchelewesha matokeo!
... Baadae utawasikia upinzani wanataka kuvunja amani Tanzania. kinachofanya wasitangaze hayo matokeo nini? ndi maana waliambiwa wanafikiri kimasaburisaburi hovyo kabisa.
 
Jamani kwani tatizo liko wapi? si watangaze tu?
na lile Bwabwa sijui Nepi asubuhi limekuja na matokeo yake fake...
 
Back
Top Bottom