menyidyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 1,339
- 193
baada ya kuangalia nchi na siasa inavyokwenda sasa nimeamua kuipa nguvu chadema moja kwa moja. hatua nitakazo chukua wiki hii ni kuchukua kadi ya chama. na kutoa mchango wa hali na mali kwa chama changu ambacho kwa pamoja tutaikomboa NCHI............................................ CHADEMA JUUUUUUUuuuu