Hatimae kwa habari za hivi punde cdm wametetea kiti cha udiwani kata ya nzovwe ambako diwani wao alijiuzulu na kuacha kiti hicho wazi na ccm wamefanikiwa kutetea kata ya majengo kata iliyokuwa ikongozwa na ccm baada ya diwani kufariki dunia.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us