Rostam Amepiga Kura? Amepigia Kituo Gani?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
kama ingekuwa kwa wenzetu huko majuu, Rustam angekuwa sambamba na paparazzi kila alipokanyaga, lakini TV zetu hazijasema lolote kuhusu mwanasiasa huyu maarufu wa Tanzania.

Hem mtu aniambie, Rustam amepiga kura? Amepigia kituo gani?
 

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
886
habari za kuaminika ni kwamba alikua busy kuwaita wahariri wake kwa uhakika aliowaita ni Balinawe Mwambungu wa Rai aliyechukua nafasi ya marehemu Dani, Manyerere chaupele, deoratius Balile na kuwalaumu kwamba wameshindwa kufanyakazi yao kwa kutoiandika vibaya chadema na kuipiia debe CCM, akidai kwamba ni nchimbi ndio aliyelalamika. Huyu muhindi anacheza na aklia za watu, huku akijulikana fika kwamba ndio aliyelipia ndege za CCM na CUF huku akitafuta kwa hamu namna ya kupenyeza hela kwa chadema na kushindwa anajifanya anaitakia mema CCM wakati wote tunajua kwamba amekua akifanyakila analoweza kuzima uwezekanao wa CCM kushinda na hizo kura moja moja na sifuru za CCM zimemfurahisha sana eti leo hii anajidai anajihusisha mshenzi mbwa huyu sasa ametufikisha mwisho hiyo hela ya dowans hata asajiliwe na nani haki ya mungu hataipewa na iwe tripoli nyingine walichokula na huyo kikwete wake kimetosha hiki hawakipati.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Kwenye ratiba ya kufunga kampeni za CCM ilikuwa aje tena ilikuwaje amekuja Mkapa pekee ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom