Igunga mpo hebu tuambien nani anapewa nafasi mpaka sasa mana huku kimya sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igunga mpo hebu tuambien nani anapewa nafasi mpaka sasa mana huku kimya sana

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MUREFU, Oct 3, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wanathnker hebu tuambie nani amechukuwa huko igunga mana siunajua tena nje yenu matokeo yanakuja kutoka mshindi tumeshamjua vipi huko igunga chama gan ninasemekana nimeongoza au ninaweza kuchukuwa. Yan hata tetesi za chn kwa chn mana huku vyombo vya habari vimetususia wanasubir saa nne
   
Loading...