Elections 2010 Iweje hakuna network Igunga

Mmang'ati

Senior Member
Jan 8, 2011
184
49
Kwa mujibu wa Renatus Mutabuzi mawasiliano nje kidogo ya mji hakuna. Hii inashangaza hata vodacom haioni kuwa charity starts at home?Kweli wana igunga hata picha hamuoni? Yaani mngechagua hata chausta ningewaelewa.
 
hili suala la kukosekana mawasiliano igunga limenishangaza maana matokeo yalikuwa yanatiririka vizuri lakini kwenye thread ya matokeo ni porojo zinaendele hakuna matokeo
 
Masabutri wamesha aagiza kata kila ki2.ili tuongeze nguvu bila ushahidi wa kukamatika
 
Nahisi wamezuiwa matokeo yasiflow make nilidaka kwa bahati Raymond akisema tokea mitandao ilivyozuiwa kutoa matokeo....ghafla baadae akasita,lakini hiii itakuwa ni mbinu ya kutaka kuchakachua
 
its bcoz demand is higher than supply. cmple.

Hapana ndugu. Demand ingezidi mjini kunakounganisha matokeo yote bt hii ni tofauti. Kifupi kampuni za cm zikiongozwa na focadam ya RA hazijajenga network facilities(bts) Igunga vijijini so communication haikupewa priority japo ni jimbo la director.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom