Mabalozi 18 wa CCM wa Igunga wamejivua gamba. Wamesema CCM imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil.
Wasema...
KAMPUNI ya Singita Grumeti Reserves , inayomiliki hoteli ya nyota tano ya Sasakwa imeahidi kuchangia ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa. unaotarajiwa kujengwa katika Kijiji cha Burunga...
Kumeibuka wimbi la wake wa maraisi kuanzisha taasisi za kijamii,hili limepata kasi kwa mama Ana na Salma.Swali langu ni mama Maria na Siti nao walikuwa au wanazo taasisi?.
Nawasilisha.
Siku chache zilizopita kumekuwa na habari ambayo imejaribu kuonesha umahiri mkubwa wa JWTZ kukabiliana na maharamia. Kwamba watu kama nane wanaosadikiwa kuwa ni maharamia walikamatwa walipojaribu...
Wed, Sep 7th, 2011
Wed, Sep 7th, 2011| Tanzania Iranian
Secretary General of the East African Community (EAC), Dr Richard Sezibera
The Islamic Republic of Iran has appointed its...
Ikiwa tumebakiza miaka michache kwa muungano wetu kutimiza miaka 50 kuna haja ya kujistasmini ili kuondoa dhana tata ktk muungano wetu.Moja ni kwamba ka nchi hii imeundwa na nchi mbili kwa nn ina...
MTU MMOJA ASADIKIWA KUFA KWA KUPIGWA RISASI YA USO NA POLISI
POLISI wilayani Geita, mkoani Mwanza wamelazimika kutumia risasi za moto kupambana na wananchi zaidi ya 200 ambao ni wachimbaji wadogo...
CDM, CCM hata CUF wanaweza kukubali matokeo, ni mtazamo wa nia zao. Ila Mimi kama Mtanzania wa nchi inayodai ni huru tena ya kidemokrasia.. SIKUBALI WALA KUAFIKI Matokeo ya Uchaguzi wa jimbo la...
Nawasabahi wana JF katika Jina La Mageuzi!!
Mimi sina muda Mrefu tangu nijiunge na Jukwaa hili ambao Wanachama wake wengi(si wote) wanao uwezo wa kipekee kabisa wa Kufikiri,hawa ndiyo wale...
Nimeshangazwa sana na kauli ya Samweli Sitta katika ufunguzi wa Jukwaa la Afrika Mashariki. Anasema litajumuisha nchi zote 5 na taasisi ya moja ya Ujerumani. Hivi kweli hatuwezi kufanya kitu chetu...
UDSM ni chuo chenye heshima ndani na nje ya nchi. Wanasiasa na wataalam wengi ndani na nje nchi wametokea hapo. kwahiyo chuo kama hiki kinapotaka kutoa tuzo za heshima kwa mtu yoyote ni lazima...
Leo nimeona kituko michuzi nikazijuliza maswali siwezi kuyajibu:-
Mojawapo ya swali ni hili hivi kweli hatuoni aibu mtu binafsi ananunua Boeing mbili wakati serikali yetu inashindwa kununua hata...
David Jairo aondoka na funguo za ofisi
Wengine wahoji miaka 20 ni ya dharura gani?
Vigogo wahaha Symbion ipewe mkataba wa miaka 20
HUKU Bunge likichunguza madai ya kuwapo fedha...
Nape mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa CCM ila ninakerwa sana na utendaji wa serikali ya chama changu, kama kijana mwenzako nauliza, je mdahalo wa ITV KUHUSU DOWANS ulisikiza? Umejifunza nini...
Rais wa Zambia mheshimiwa Sata amesitisha shughuli zote za kusafirisha Shaba kutoka Nchini mwake, amesema mpaka hapo kanuni na utaratibu zilizowekwa kuangalia upya na Serikali yake.
Vipi hii stop...
Inavyo onyesha ndg zangu wadau serikali hii ya JK na operative wake kina TAKUKURU na Bwn Fereshi DPP, wameshindwa kabisa kuwapeleka mahakamani wezi na mafisadi waliofirisi nchi yetu!!!!! Mbaya...
Wana JF nimesikitishwa na taarifa(fununu)kuwa eti mijamaa pale UDSM wamepanga kumtunuku JK tuzo ya PhD ya heshina katika miaka 50 ya uhuru!!
Kama ni honorary PhD wako candidates wengi TZ.......na...
Hili Demokrasia iwepo na kukua ni lazima uwepo uchaguzi huru,wenye usawa na uwazi.Hii ni misingi muhimu katika Demokrasia ingawa waweza kuwa na uchaguzi bila Demokrasia.
Kuna chaguzi nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.