Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by HGYTXK, Oct 8, 2011.

 1. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ikiwa tumebakiza miaka michache kwa muungano wetu kutimiza miaka 50 kuna haja ya kujistasmini ili kuondoa dhana tata ktk muungano wetu.Moja ni kwamba ka nchi hii imeundwa na nchi mbili kwa nn ina serikari mbili na sio moja au tatu?,kwa mfumo tulionao je itakuwaje ikiwa raisi wa muungano hatokubarika kabisa Zanzibar lkn akashinda kwa uwingi wa watu wa bara?.
  Nawasilisha.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa CCM nadhani watambeba tu ili aendeleze ufisadi
   
 3. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hapo ndipo penye tatizo! huuu muungano wa kipekee wa serikali ya ccm kuna haja ya kuubadilisha ili uendane na wakati au kuuondoa kabisa kama tukiona inafaa.
   
Loading...