NGO's kwa wake wa maraisi.

HGYTXK

Senior Member
Oct 3, 2011
194
70
Kumeibuka wimbi la wake wa maraisi kuanzisha taasisi za kijamii,hili limepata kasi kwa mama Ana na Salma.Swali langu ni mama Maria na Siti nao walikuwa au wanazo taasisi?.
Nawasilisha.
 

mtznunda

Senior Member
Sep 15, 2011
146
19
Kipindi cha kina mama maria na siti hata NGO's nyngne za kawaida hazikuwepo km hv leo,so kila kitu na wkt wake
 

Chakunyuma

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
810
151
Unajua wake wa marahis wakiwa na kango cha kuongeza kipato ni rahisi kuchangiwa na watu au taasisi ambazo zinataka upendeleo kutoka serikalini ndo maana kila mtu anaona dili kuanzisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom