Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Steve Jobs, the lead mind behind the most successful company on the planet never graduated from college, in fact, he didn't even get close. After graduating from high school in Cupertino...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha ambaye ni Diwani kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewataka viongozi wa juu wa chama hicho kuacha kuwadanganya wakazi wa Jiji la Arusha kwamba...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Leo katika pitapita yangu fb nikakutana na uchanganuzi huu ambao binafsi nimependa kuwashirikisha nanyi; Siku za karibuni kulikua na uchaguzi Igunga, katika uchaguzi huo vyama vingi vilishiriki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WaTanzania watu wa amani sana. Nakumbuka zamani in the 90's mtu ukipita pale mnazi mmoja ndio ilikuwa kama ndio SPEAKERS CORNER yetu...kuanzia wana conspiracy theory mpaka wana mihadhara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam...
2 Reactions
131 Replies
12K Views
Ilikuwa ni jana majira ya saa saba na leo majira ya asubuhi. Zimeonekana helkopta tatu zikiruka kwa kufuatana. Cha kushangaza iliyotangulia ina rangi ya njano ubavuni na sehemu iliyobakia ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Vumbi lilikuwa likitimka Igunga huku helkopta zenye mbwembwe nyingi zikipasua anga. Kampeni zilifanyika kwa nguvu kubwa huku madege hayo yakitumika kwa ajili ya kuwavuta wapiga kura. Bila ya shaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna tetesi kwamba samwel sita ndiye mumiliki wa kamuni iliyopewa tenda ya kugawa mashine za kutoa risiti kwa wafanyabiashara wa Tanzania.office za hiyo kampuni zimeweka kwenye nyumba ya africa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
All Alumni, staff (former & current) and friends dinner to be hosted by H.E J M Kikwete(President of TZ) for university of Dar es salaam on 18th October 2011 to benefit the student centre. This...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kumzawadia fedha, mtoto Liano Adamu (7) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ruaha Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro baada ya kuvutiwa na uchezaji wake wa ngoma ya...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu kuna wakati tunatakiwa kujiuliza hata maswali ambayo tuna majibu yake. Hii ni excerpt hapa chini ni kutoka url ya IPP. Hivi JK anapoongea kauli kama hizi nani anayemsikiliza na kumuamini? Au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA...
16 Reactions
67 Replies
7K Views
Hali ya kisiasa CCM Songea yazidi kuwa tete Send to a friend Thursday, 06 October 2011 21:13 Kwirinus Mapunda, Songea MADIWANI wa Chama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
9 things you didn’t know about the life of Steve JobsBy Taylor Hatmaker, Tecca | Today in Tech – 13 hrs ago tweet1582 Share492 Email Print Steve Jobs leans against his wife, Laurene...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DC atoboa siri nzito kuhusu waombaji *Ataja chanzo cha kuungua kwa soko Na Charles Mwakipesile Mbeya MKUU wa Wilaya ya Mbeya Bw. Evans Balama, amewashangaza umma uliojitokeza kumsikiliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku hizi imekuwa kawaida karibu kila siku kwa viongozi wa CCM kukisema vibaya Chadema na hata vyombo mbalimbali vya habari vyenye mrengo wa CCM na serikali vimekuwa mara nyingi vikiandika habari...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimelaani kitendo kilichofanywa na Jeshi la Polisi nchini cha kumdhalilisha mwanamke mmoja ambaye alikuwa akifanya maandamano ya kushinikiza...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM ni mizengwe tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,nawashangaa sana wanaokisapoti hiki chama. Acha wavurugane hadi kieleweke wakati CDM kinapaa anga ya kukubalika hapa Tz. Kama hujui wanaCCM wanamkakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM kutoka kura 36000-2010 hadi 26000-2011 Baada ya miezi nane ..kwa ujumla kutokana na uchaguzi wa igunga, na Chadema kitoka Kura 0 Mpaka kura 23200 Baada ya miezi nane, Huo siyo mwanzo mzuri
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu watanzania .Natumia neno hili maana jambo ninalotaka kulisema linamuhusu kila Mtanzania .Uchaguzi umeisha Igunga mambo mengi yametokea lakini mimi kuna mambo makuu machache ambayo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom