Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
KAMPUNI ya Singita Grumeti Reserves , inayomiliki hoteli ya nyota tano ya Sasakwa imeahidi kuchangia ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa. unaotarajiwa kujengwa katika Kijiji cha Burunga, wilayani Serengeti.
Ahadi hizo zilitolewa juzi na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa kampuni hiyo, Richard Ndaskoi, baada ya kusaini makubaliano kuhusu kampuni yake, kusaidia utekelezaji wa miradi ya jamii.Makubaliano hayo ni kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti na kampuni hiyo, inayoendesha shughuli zake ndani ya kampuni hiyo.
Suala la uwanja wa ndege wa kimataifa limo ndani ya makubaliano hayo ,uwanja si wa kampuni lakini kwa kuzingatia kazi za utalii zinazofanywa na kampuni, kampuni itachangia ujenzi huo na katika hatua za awali imelipa Sh400 milioni kwa ajili ya fidia kwa wananchi watakaopisha ujenzi wa uwanja,alisema.
Napata shida kuelewa ni kwanini kijiji cha Burungi kimeweka ujenzi wa kiwanja cha ndege tena cha kimataifa katika vipaumbele vyake?? Hapa nadhani kijiji kimetumika kutimiza matakwa ya Mwekezaji mkubwa wa kimarekani na wahujumu uchumi wa nchi hii. Kampuni inasema "itachangia" 400mil, je mjenzi hasa wa kiwanja hicho ni nani?????Kijiji cha Burungu/Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti/Serikali kuu?? Kama serikali ilishindwa kuzuia utoroshwaji wa wanyamapori wetu hapo KIA kweupeeeeeeee, hivi itaweza kweli kuzuia utoroshwaji wa madin ya nyamongo, na wanyamapori wa Serengeti, ikorongo-grumeti na rasilimali nyingine??? Huo uwanja wa ndege wa kimataifa hasa utamnufaisha nani huko maporini????Mbona serengeti, grumeti game reserve kuna viwanja vya kutosha tu kwa ajili ya shughuli za watalii??kwanini hadi kiwe kiwanja cha kimataifa????Ndugu zangu watanzania, haya ni maandalizi tu yakuibiwa rasilimali zetu. Je mnadhani tanzania inahitaji kiwanja cha kimataifa kujengwa katika kijiji cha Burunga,kweli kiwanja cha ndege cha aina hii ni kipaumbele kwa sasa wakati nchi haina barabara za uhakika za kuunganisha vijiji achia mbali mikoa?????????????Toa maoni yako kuhusu hili.
Source Mwananchi Friday, 07 October 2011
SGRi yaahidi kuchangia ujenzi uwanja wa ndege