Swali kwa Nape

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,396
Nape mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa CCM ila ninakerwa sana na utendaji wa serikali ya chama changu, kama kijana mwenzako nauliza, je mdahalo wa ITV KUHUSU DOWANS ulisikiza? Umejifunza nini kama kijana na kiongozi ndani ya chama kinachounda serikali? Slogany ya kujivua gamba imeishia wapi, mbona kimya?
 

Yetuwote

Senior Member
Jul 22, 2010
194
41
Kwa nini usifuate utaratibu wa vikao vya chama kuuliza maswali yako. Hataweza kukujibu hapa.
 

MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,308
6,335
Maswali magumu namna hiyo kwake hawezi kukujibu hata siku moja.
 

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,689
474
haijawahi kutokea, na wala haitawahi kutokea Gamba kubwa likajibu swali humu.
 

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Nape siku zote huwa hana majibu kwa swali gumu kama hilo. Akijitahidi zaidi atasema hilo LINAZUNGUMZIKA. Labda nimuulize kaswali simple; Je ule mpango wa kukipa chama chako ccm mvuto umekwamia wapi?
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Nape mimi ni mwanachama wa muda mrefu wa CCM ila ninakerwa sana na utendaji wa serikali ya chama changu, kama kijana mwenzako nauliza, je mdahalo wa ITV KUHUSU DOWANS ulisikiza? Umejifunza nini kama kijana na kiongozi ndani ya chama kinachounda serikali? Slogany ya kujivua gamba imeishia wapi, mbona kimya?

Mkuu ccm walishapewa ushauri wa kusitisha zoezi la kujivua Gamba! Igunga tu iliwatoa jasho pamoja na serikali nzima kuhamia kule kwa muda.
Aibu yake Nape na Chama chake cha Magamba!
 

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Nape hawezi toa jibu kwa swali gumu kama hilo.Sana sana atajibu kuwa hilo LINAZUNGUMZIKA. Labda nimuulize kaswali simple size yake.; Je ule mkakati wa kukipa chama mvuto umekwamia wapi?
 

makusanya

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
552
122
Majibu mepesi atakayotoa hapo we mwenyewe utabloo ni sawa na yale majibu aliyotoa kukataa ID yake....totaly hawa jamaa they are not serious
 

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,707
The death + the funeral is around the corner, kuna jamaa mmoja anafanya kazi TRA, Aliwahi kuniambia kuwa Raisi wa 2015 ni Lowassa, nikamuuliza reason kwa nn atamchagua Lowassa akasema eti kwa sababu jamaa atakuwa reluctant kushughulikia Fraud zinazofanywa na serikali cause yeye mwenyewe ni fisadi na atawapa chance wao waendeleze uozo unaofanyika TRA. Alikuwa mtu mzima, me roho iliniuma sana. Sijui this country where its heading we need an urgent revolution, coz the damage which is being made by these power mongaz, will be felt by next generations. Because CCM is busy looting resources direct to private pockets. Sisi wananchi wote tunajua labda ambaye ameamua kufunga masikio na macho because he/she is benefiting from the systems unofficial funds, kama huyu Chizi Nape A.K.A MPAYUKAJI. Kwa nini tusiwaige wenzetu wa malawi ambao wamempa jambajamba Mutharika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom