Tanzania tuige mfano wa uganda!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tuige mfano wa uganda!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi Wetu, Oct 7, 2011.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,982
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Inavyo onyesha ndg zangu wadau serikali hii ya JK na operative wake kina TAKUKURU na Bwn Fereshi DPP, wameshindwa kabisa kuwapeleka mahakamani wezi na mafisadi waliofirisi nchi yetu!!!!! Mbaya zaidi hao mafisadi bado wana influence kwenye hii serikali ya wana maghamba wanaendelea kuiba!!!!!!!!!! Sasa the right option ni waheshimiwa wabunge wapeleke mswada bungeni wa kuunda chombo kitakacho pewa madaraka na bunge, bila kuingiliwa na serikali kiwe na powers za kuinvestigate, kukamata na kufikisha wezi wote wa mali za umma ( mkataba mibovu) na mafisadi wote mahakamani ( powers to prosecute). Vile vile bunge liunde mahakama ya kushughulikia kesi za corruption bila kingiliwa na serikali na kutoa hukumu ya halali!!!!!!!!!!! Maana kama tutanyamaza eti tusubiri katiba mpya hawa watu wanazidi kufilisi nchi wanaacha mashimo na ukiwa. Kwa mbunge yeyote mpenda nchi hii ya TZ ataunga mkono, kama atapinga tunajua ni msanii msaliti au ananufaika na mapato hayo ya dhuluma kwa Watanzania!!!!!!!!!!! Nawasilisha!!!!!!!!!!
   
 2. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,982
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  IGG haogopi kupeleka wezi mahakamani kama Hosea na Fereshi, mawaziri wanne watakuwa kizimbani VP yuko Luzira remand prison. Wakwetu wanatesa mitaani kama vile hakuna serikali!!!!!!!!!!
  [h=1]IGG Baku moves to wipe doubts[/h] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  [​IMG]Share [​IMG] Bookmark [​IMG]Print [​IMG]Email [TABLE]
  [TR]
  [TD] Email this article to a friend

  Friend's Email Address [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Your Email [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] Message [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: right"] Submit Cancel [/TD]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Rating
  [​IMG]
  Minister Kutesa (front) and Motorcare manager Kim Vandbaek (Left) inspect some of the BMW cars used during Chogm at Shimoni grounds in 2007. FILE PHOTO
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,982
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Watu waliofilisi taifa letu ua walilitia hasara taifa kwa mikataba mibovu yenye maslahi kwao ni lazima tutafute namna ya kuwafikisha mahakamani!!!!!!!!Tuache chit chat mswada upelekwe bungeni ili bunge litoe uamuzi wa kuunda chombo au vyombo vya kushughulia wezi!!!!!!!!!!Hiyo itaondoa umaskini unaoletwa na mbinu chafu ya wizi na kujirundikia mali, huku nchi ikibaki maskini!!!!!!!!!!!
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Tumia font size na color za kawaida
   
Loading...