Nimekuwa nikijaribu kufuatilia utendaji wa Yusuph Makamba na Nape Moses Nnauye....hawa watu wanasifa zinazofanana kabisa hizi ni mojawapo
Uropokaji
Kutumia maneno yasiyo na adabu(Uswahili)...
While many African countries have now "enjoyed" at least 50 years of independence that independence has proven to only be an independence of the flag but has not resulted in any real independence...
RAIS Jakaya Kikwete sasa anakabiliwa na wimbi zito la kujinasua kutoka kwenye mpango unaosukwa na makada wa chama hicho kumng'oa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Makundi...
Natumaini wadau wote wa JF hamjambo!!!!!!!
Jana jumapili nilifuatilia mdahalo wa umeme Star TV Dar, nikagundua kumbe si TANESCO wala Serikali yaanai wizara yenye mkakati wa kudumu kuondoa kero...
Ufisadi lazima ufe
2008-07-04 09:28:38
Na Jackson Kalindimya, Dodoma
Wabunge wamewashambulia mafisadi kwamba mtandao wao umejengwa katika nguvu ya maslahi ya fedha na wametaka...
Tanzania ni wakati wa kulilia systeam sahiv wala sio mda wa kukaa na kuvishangilia,kuchukiana au kuuana kwa sababu ya vyama vya siasa.vyama vyetu vya siasa ni ballot-boxes-paries,yani vyote...
diwani wa kata ya sinza mr simple amesema kuanzia j mosi ya wiki hii ataanza kupanda miti katika maeneo yote ya wazi ambayo hayajavamiwa mpaka sasa. akiongea na wazee wa sinza pamoja na vijana na...
Ni shamrashamra hapa katikati ya jiji la Arusha wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo wamkisherehekea mbunge wao bwana Godbless Lema kuhusiana na ile kesi ya ubunge kuahirishwa mpaka...
Makamba amewaambia wanachama wa ccm maneno hayo wakati akiwaaga baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa chama hicho jana. Mimi ni m1 kati ya watu waliofadhaishwa sana na kuondoka kwa...
Takwimu sahihi za Jamii Forum ambazo hata mchambuzi /mwandishi mahiri Mbwambo (katika makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema) amezitumia kuwa safari za JK nje ya nchi zimefikia 317..
Ukifanya...
"Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata...
Nuru haiwezi kuchanganyika na giza. Palipo na nuru giza hutoweka. Nguvu ya chadema sasa imetawala hadi jimboni SOLWA, ambapo kulionekana kama kambi ya ccm. Jana makamanda wa chadema shinyanga...
Juzi katika Kongamano la kumuenzi Mwalimu Nyerere, viongozi wa zamani akiwapo Jaji Warioba alishauri kuwa vijana tuache kulalamika tuchukue maamuzi na kuamua kutenda nami nakubaliana naye mia kwa...
Watanzania wenzangu,ni lazima tuludi nyuma na kuangalia ni wapi tulipokosea.Hata leo hii tukisema tubadili katiba,tukipe chama kingine dola,inawezekana tukaongeza tatizo na tukawa hatujapata...
Thursday, 13 October 2011 22:12
By Florence Mugarula
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The University of Dar es Salaam (UDSM) has decided to rename Mlimani Campus Mwalimu JK Nyerere in...
Kwa upeo wangu UZALENDO ni hali ya mtu kuwa tayari kufanya lolote kwa maslahi ya nchi yake, haijalishi kwa kufanya hivyo atakuwa anafuata sheria au anaivunja. Yaani kwa mtazamo wangu UZALENDO...
NGUVU ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imezidi kukinyima usingizi Chama cha Mapinduzi (CCM), na sasa inadaiwa kuwa mikakati imenza kusukwa ili kuwabambika kashfa baadhi ya...
Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, ameamua kuitolea uvivu serikali ya Jakaya Kikwete na waziri mkuu wake Mizengo Pinda kwa kusema kuwa mgao wa umeme unaondelea hivi sasa ni aibu.
Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.