Kesi ya mbunge wa Arusha mjini yaahirishwa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Ni shamrashamra hapa katikati ya jiji la Arusha wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo wamkisherehekea mbunge wao bwana Godbless Lema kuhusiana na ile kesi ya ubunge kuahirishwa mpaka juma3.

Nitawajuza nini kitaendelea kutokea hapa jijini Arusha.
 
saaafi utaona hao jamaaa watakamatwa na polisi eti wanaaandamana bila kibali....shereheekeeni kwa raha zenu, msiwaogope hao ccm-c
 
Huyu naye! Kila siku kesi?
Sina uhakika kama ana muda wa kukaa na wananchi wake kuongelea mambo ya maendeleo
 
Waliomshauri Matrida Burian kukata rufaa huku wakijua ushindi wa Lema ulipunguzwa na tume ya Uchaguzi walikuwa wanataka tu kula pesa zake!
 
saaafi utaona hao jamaaa watakamatwa na polisi eti wanaaandamana bila kibali....shereheekeeni kwa raha zenu, msiwaogope hao ccm-c

Usijali police wako busy na waandamanaji (wachina) jijini Dar
 
Mleta habari hii aache uongo! Shauri limeahirishws hadi juma tatu,mie nilikuwa mahakamani.
 
It was meant to be!!
Hivi yule dada ameshajifungua? tunataka tukapime DNA ya mtoto!! haaminiki yule!!
 
Ndallo heshima.

Mkuu mbona kesi imehairishwa mpaka J3 ! au kesi ikihairishwa ndiyo ushindi ebu tumia hekima kidogo na punguza ushabiki mandazi.



Ni shamrashamra hapa katikati ya jiji la Arusha wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo wakisherehekea ushindi wa mbunge wao bwana Godbless Lema kuhusiana na ile kesi ya ubunge.

Nitawajuza nini kitaendelea kutokea hapa jijini Arusha.
 
Hii habari sio kweli , kesi imeahirishwa mpaka tarehe 23. Mleta habari ni muongo au kapitiwa au kapewa taarifa zisizo sahihi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom