Cleopa Msuya: Mgao wa umeme unaondelea ni AIBU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cleopa Msuya: Mgao wa umeme unaondelea ni AIBU!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOUBLE AGENT, Oct 17, 2011.

 1. D

  DOUBLE AGENT Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, ameamua kuitolea uvivu serikali ya Jakaya Kikwete na waziri mkuu wake Mizengo Pinda kwa kusema kuwa mgao wa umeme unaondelea hivi sasa ni aibu.

  Wakati serikali inadai kuwa mgao unatokana na ukame, Msuya kasema wazi kuwa mgao huu unatokana na serikali kutowekeza kwenye miradi mikubwa ya umeme tangu mtera iliyojengwa na serikali ya Ali Hassan Mwinyi na Kihansi iliyozinduliwa na Benjamin Mkapa.
   
 2. M

  Mojo Senior Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee Msuya kasema kweli, huu mgao ni aibu kubwa sana kwa serikali ya Kikwete. Inaonesha wazi kuwa mtawala huyu kaingia madarakani bila vision ya kuiendeleza Tanzania. Yeye anawaza tu safari ijayo ya nje aende nchi gani! Kweli Watanzania tumepata adhabu kubwa ya kuwa na mtawala kama huyu. Inasikitisha zaidi kujua kuwa mzigo huu tunao mpaka 2015!
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wanatoleana Siri, yeye sialukuwa huko huko Serikalini, Kwani katika kipindi chake hakukuwana mgao wa Umeme? kikwete, Msuya na viongozi wote wa Serikali yetu ni wavivu wakufikiri na kufanyakazi.
   
Loading...