Tundu Lissu ashtakiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu ashtakiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mndeme, Oct 16, 2011.

 1. m

  mndeme JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafail" Angel Akilimal mtangazaji wa redio ya magamba (uhuru)- status yake ya leo hiyo kenye fb page yake.

  Naona magamba sasa wameamua kuwashambulia wabunge wa CDM ambapo ndani ya mwaka mmoja wameanza kuwanyooshea vidole wakati wao nadani ya miaka 50 ya uhuru wameifilisi nchi kwa ufisadi na utawala mbovu wenye kuwagawa watz kwa makundi ya aliyo nacho na asiye nacho.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ati!!! Mwantumu Mahiza ni mlezi wa mkoa wa Singida? How? Hapo sijaelewa mkuu,on the other side kama ni kupitia Radio uhuru sijastuka kabisa...nadhani ni moja ya kazi ya Radio uhuru...Natamani kama CDM tungekuwa na ka-Radio ketu kuwaambia ukweli watanzania....
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bila kujali kwamba Lissua ameshtakiwa kwa nani. Swali la kujiuliza ni kwamba amelipa deni la ahadi zake (maana ahadi ni deni)?
   
 4. O

  Omr JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  yote tuyasemayo, ni kuwafanya viongozi hawa wawe wajibikaji kwa wananchi walio waajiri. Kama tundu lisu hajarudi hata kusema aksanteni, na kuwa mikakati ya kuwakwamua, bado hajawatendea haki na wanaweza kuamua vinginevyo kumumwaga 2015.

  kinachotakiwa tuwasihi hawa wabunge wetu, wasiakae mbali na wapiga kura, wawe na ewgular vist kwao, wakague shughuli za kimaendeleo, watoe miongozo ili wananchi waendelee kuwaamini na waone tofauti ya CCM na vyama vingine hasa CDM.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  Unadhani huku JF wamejazana watoto?????
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Una haki ya kuandika upuuzi wako huo kwa kuwa wewe ndo umeshikilia bajeti. lakini kwa vyovyote vile lazima 2015 upumzishwe.

  you have already planted roots of your own destruction.
  hakuna chenu 2015
   
 8. S

  Sambega Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Ni sawa kumshtaki lakini sio kwa huyo walikomshtaki,
  Kabla ya kumshtaki wangeangalia kwanza profile yake ya kutimiza ahadi zake na muda uliosalia kumaliza hizo ahadi.
  Nchi hii kama usipobeba mafaili ya ku-review sheria ili sheria ikulinde wabunge wote wa CDM wangalikuwa jela.

  ushauri wangu kwa wananchi hao ni kumkumbusha ahadi zake alizotoa mbunge wao kabla ya kumshtaki ili wapewe ratiba ya jinsi gani na lini atatimiza ahadi zake kwao.

  JK hukumbushwa ahadi zake kila uchao,
  anazidi kuahidi au kukili kuwa imemshinda au kuikana au kuipotezea hizo ahadi alizotoa,
  huyu ndiye wa kumshtaki kwa wananchi wake.
   
 9. O

  Omr JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli watanzania tunayo kazi kubwa ya kuwatoa ujinga watu kama nyie.
   
 10. O

  Omr JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamshitaki tu, hii ndio tabia ya wabunge njaa, maneno mengi lakini hakuna wanalo lifanya. Labda huyu ndio atakuwa mfano.
   
 11. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nadhani tungeanza na zile za Kikwete!!!!
   
 12. O

  Omr JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nani ameweza kutekeleza aliyo ahidi? tupe jina kijana
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Mkuu bora wewe unayepata muda kumwaga uharo hapa JF...unatekeleza ilani ya Chama cha magamba kueneza propaganda zake...
   
 14. O

  Omr JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama kawaida yenu, semeni mlichofanya nyie.
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Sawa Lusinde leta mambo,nasikia upo Mwanza this moment.....
   
 16. O

  Omr JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Regia naona umerudi tena.
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  • [​IMG][h=6]Angel Akilimali

   Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafaili[/h]


   • Marcel Kisinda likes this.
   • View 1 share
    • [​IMG]Felix Mpozemenya mhhhhhhhhhh,about an hour ago

    • [​IMG]Felix Mpozemenya unaweza kutusaidia huyu mh alitoa ahadi ngapi hapo Ikungi?about an hour ago

    • [​IMG]Gulamali Ally Si 2shamzoea lisu ndo life style yakeabout an hour ago

    • [​IMG]Felix Mpozemenya kumbeeeeeeeeeabout an hour ago

    • [​IMG]Issa Mnoga Na hao wananchi mbona wana haraka sana hawajui kuwa ishu zote zimo kwenye mafaili zitalipuka moja baada ya nyengineabout an hour ago · [​IMG] 1 person

    • [​IMG]Gwakisa Kasongwa ‎2015 atavuna alichopanda tusimshitueabout an hour ago

    • [​IMG]Alex Mkelemi Kama ni hivyo basi watashitakiwa wengi! Si afadhali hata yeye anayeshika mafaili je wale 'wanaombonji' na kubuni kila siku staili mpya za 'kumbonji' mbele ya kamera mjengoni si watanyweshwa sifongo!?about an hour ago · [​IMG] 1 person

    • [​IMG]Hamis Hamad Wananchi hao wa Singida nao ? Yaani CCM miaka yote hiyo wala hawajawashitaki lakini Tindu juzi tu leo wanamshitaki...?? haaaaaaaa haaaaaaaaaa ! CCM walishawatia lupango wangapi........kwa kutotimiza ahadi ?about an hour ago · [​IMG] 1 person

    • [​IMG]Joseph Ngindo Mpiganiajihaki Mh.rais ametimiza ahadi zake huko?kama bado,wamemshtaki wapi?
     Hivi vimaneno vidogo vidogo visiwapoteze ni upepo 2 wa siasa.about an hour ago

    • [​IMG]Mikah Kobole Ndio siasa za bongo,kwanza ww baadaye sana ndio nyie.siye huko hata mbunge mwenyewe tunamsoma kwenye magazeti tu.katusahau kabisa,kweli kabisa naomba 2015 asije tena.about an hour ago

    • [​IMG]Chacha Mathew Mmmh!.. Hizi ndo zinaitwa 'SI-HASA'56 minutes ago

    • [​IMG]Arstotle Frank Juma Nimepitia comments za watu tofauti tofauti nimeona tundu lisu hana kosa sema kazi na majukumu ndio yanamfanya asahau lakini kwa vile anabeba mafaili basi labda mambo yamo kwenye mafaili ila kuhusu kutimiza ahadi ni wengi hawatimizi ila kazi yao kubadilisha staili ya kuvaa suti tuu@angeal akilimali48 minutes ago · [​IMG] 1 person

    • [​IMG]Jonathan Mndeme kwa miaka 50 mliokaa madarakani mmetimiza nini nyie magamba? zaidi ufisadi na kuifilisi nchi? acheni propaganda zenu chafu dhidi ya wabunge wa CDM46 minutes ago

    • [​IMG]Arstotle Frank Juma Vipi lakini dada mbona hujibu hoja za watu mbalimbali wakati umetoa status yako mwenyewe@angeal akilimali45 minutes ago

    • [​IMG]Bakar Mwakosya Hawa wananchi wa Ikungi hawako sawa,miezi kumi tu,wanalalamika,kama maendeleo yanapatikana kirahisi namna hiyo basi raisi wetu angeshitakiwa kila kona yanchi.44 minutes ago

    • [​IMG]Arstotle Frank Juma Mimi najua msemakweli hufa mapema nadhani zote nifitina za mafisadi huyo miss kikwete kafanya nini mpaka sasa hivi kazi kwenda marekani kila siku sijui mshamba wa ndege 38 minutes ago · [​IMG] 1 person

    • [​IMG]Arstotle Frank Juma Mimi najua msemakweli hufa mapema nadhani zote nifitina za mafisadi huyo miss kikwete kafanya nini mpaka sasa hivi kazi kwenda marekani kila siku sijui mshamba wa ndege wenzetu wanachukua madini yeye aendachukua vyandarua vyenye magonjwa @alietoa status37 minutes ago · [​IMG] 2 people

    • [​IMG]Arstotle Frank Juma Kunya anye kuku akinya bata kaharisha sasa kwa vile mmeona ya lisu ngoja muone na nyie yenu kama ni mazuri mfano huku tanga )tanga mjini omari nundu kila siku na miundombinu mkoa wake leli imekufa kiwanja cha ndege kimekufa bandali imejaa tope hata kuchimba kashindwa twende muheza herbati mtangi staili mia za kulala bungeni lakini hata stendi kashindwa kukarabati ukienda mkinga dastani kitandula yeye hata ofisi wilaya hana ya mbunge hana anategemea tanga mjini@all ccm28 minutes ago · [​IMG] 1 person

    • [​IMG]Semeni Nyerere Mbona ****** hajatuletea meli Yetu aloahd ziwa tanganyika? Leo unajdai kumuona tundu lisu huo ni USENGEnyaji. 23 minutes ago

    • [​IMG]Josephat Muhoza Museke Hilo ndilo ilibidi watanzania wote wafanye kwa JK kwa sababu yeye pia hajatimiza hata ahadi moja kati ya zile alizotoa kwa watanzania. Barabara za juu dar, treni ya umeme kutoka dar hadi kanda ya ziwa, barabara ya kigoma-nyakanazi, meli kubwa kuliko MV bukoba katika ziwa Victoria, daraja la mto kilombero, na nyingine mia na kidogo. Usitukumbushe kuhusu kutotimiza ahadi, ongelea kitu kingine Angel!21 minutes ago

   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Nani kashika dola? Acha kuleta upuuzi mkuu,nadhani tuone kwanza JK katimiza nini? zaidi ya kutalii kwenye nchi za watu kama mtalii...
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  ccm inakusaidia au kukulipa nini kwa kuipigia debe?au maslahi binafsi?OMR juzi tumeona taarifa ya habari tbc1 huko tabora tangu shule ijengwe mwaka 1976 wanafanzi hawajawahi kukalia dawati wewe unaona ni sawa vs rasilimali vs ma v8 na safari za serikali?be honest
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nimerudi vicky kamata....
   
Loading...