Makamba: Msifadhaike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba: Msifadhaike!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Filipo, Apr 12, 2011.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Makamba amewaambia wanachama wa ccm maneno hayo wakati akiwaaga baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa chama hicho jana. Mimi ni m1 kati ya watu waliofadhaishwa sana na kuondoka kwa mzee huyu. Amefanya mambo mengi sana yaliyosaidia kukijenga chama chetu! Ni chini ya uongozi wake chama chetu kimetata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliopita. Kashfa za ufisadi, Upuuzi wake na mamluki (akina Tambwe) wake ndani ya chama ilisaidia kukipukutisha chama hicho na kuimarisha chetu na nilitamani aendelee kuwepo hadi 2015 ili aendelee "kukijenga" chama chetu. Nimefadhaishwa sana.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  MMMMH Mbona kila mtu amefurahi!!!
   
 3. B

  Blande Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukweli Makamba alikua anatakiwa kuondolewa kabla hata ya uchaguzi wa mwaka 2010 maana hamna alichofanya zaidi ya kua mlopokaji na msemaovyo wa chama....*lisababisha CCm kupoteza jimbo la tarime wkt wa by elections.he has bin tha key player kwenye kuangusha chama.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ndio maisha hayo
   
 5. T

  The Man Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe umetumwa weww.....Kifupi Makamba hafai kuendesha taasisi yeyote isipokuwa familia yake.....!! aliprove failure kabisa, hakuna kumpaka mafuta hapa ....."he is nothing but failure":bored:
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  uropokaji wake na kusema hovyo ndio vitu nilivyokuwa na mpendea makamba kwasababu vilisababisha kuimarika kwa chama chetu na kupata majimbo mengi kwenye uchaguzi uliopita. Alitakiwa aendelee kuwepo ili tujihakikishie ushindi wa kishindo 2015.
   
 7. M

  Malunde JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Uko sahihi Filipo, Uwepo wa Makamba ndani ya CCM, ulikuwa unaiua CCM na kuvijenga vyama vya upinzani.Makamba kuendelea kuiongoza CCM ilikuwa ni kuviimarisha vyama vya upinzani na kuiteketeza CCM. Nilitegemea vyama vya upinzani visikitike kuondolewa kwa Makamba kwa msingi wa kuwa udhaifu wa golikipa ama benki wa timu pinzani unawapa fulsa wachezaji wa timu nyingine kufunga magori kirahisi.

  Mimi binafsi nimesikitika Makamba kuondolewa.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nadhani wameona kuwa huyu mzee ndio alikuwa anakipeleka chama kaburini.
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  alifeli upande m1 na kufanikiwa upande wa pili. Ukatibu mkuu wake ulisaidia kuisambaratisha ccm na kukijenga chama chetu. Thats y nimefadhaishwa sana. Angeendelea kuwepo chama chetu kingeimarika kwa kazi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi!
   
 10. S

  Selemani JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  1) Old man was the longest serving RC in Dar history and arguably the most successful (Jiji la Makamba--anybody?), stints in Morogoro and Kigoma.

  2) Fought during Kagera War. A national hero, right?

  3) Ran CCM for 5 years, and won more than 2/3 of the constituencies, 92% of serikali za mitaa. He WON the election last year, despite of EPA/Kagoda/Richmond/Dowans etc. Ya'll speaking like Chadema has 80 seats in a parliament. lol.

  4) Prevented mpasuko wa kisiasa Zanzibar on his tenure and making of serikali ya umoja wa kitaifa.

  5) CCM is the ONLY political party to conduct primary elections for her wabunge. A true measure of democracy, and that has happened under his tenure. Contrary to how Upinzani elects her wagombea. Not one SG could have the balls to do that. And that is the only reason Chadema has seats in Iringa mjini, Maswa, and Bukombe.

  6) And, Makamba was a nobody to begin with. Its not like he was born in honey and milk like Freeman Mbowe. He is a self made.

  So when u call Makamba a failure, jiangalie kwenye kioo, wewe na mzee wako and figure out what have ya'all accomplished to give u moral authority to call him a failure. Apart from being an internet thug/hater.


  My 2 cents!
   
 11. W

  WFM Senior Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Si kweli, kwa nini wajiuzulu wote kama tatizo ni Katibu Mkuu? Hapa tatizo si mtu, ni system nzima iko corrupt vibaya mno. Watu wamekuwa wavivu wa kuchambua mambo ndo maana tunadhani tatizo ni mtu mmoja. Hv kweli JK anaona mambo hayaendi, CC na NEC wanaona vilevile, hawachukui hatua halafu mtu anasema Makamba. Acheni mzee wa watu apumzike, wala CDM haikumtegemea yeye ili kukua bali ni sera na muundo wake thabiti unaouzika kwa wananchi, hata kama CCM watamweka nani.
   
 12. e

  ejom Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Nikionacho mimi Kazi iliyo fanywa na CHADEMA katika mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Musona N.k ndiyo matokeo ya yote hayo
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  nashukuru Malunde umeelewa vizuri kile ninachomaanisha. Hiki sio kitu cha kufurahia sisi tuliopo upande wa pili. Ni kama kufurahia substute nzuri ya mpinzani wako! Sasa tunatakiwa kujipanga vizuri na kujiimarisha ili tusiyumbe. Wenzetu wamejipanga upya kwahiyo tusidharau wala tusishangilie nao maana inaweza kuwa mbaya kwetu
   
 14. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ni kweli mkuu cdm haikumtegemea makamba kukua ila ni system ya ccm yenyewe HALAFU NADHANI MMESAHAU KUWA HATA MWENYEKITI NI TATIZO KUBWA SANA HAYUPO MAKINI KABISA!
   
 15. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Uzuri amepigana mpaka mwanae amekwaa madaraka naye hivyo uhakika wa kulindwa ni mkubwa

  january must be so proud of his father
   
 16. THE GAME

  THE GAME JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Chadema itaendelea kuwa chadema na ccm kama ccm,cdm inakubalika kwa sera zake na wananchi tunaamini hivyo na wala si kwa sera za makamba wala ccm.tumeamka hatudanganyiki.
   
 17. N

  Nanu JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  The Man, Filipo alimaanisha kuwa amefadhaishwa Makamba kuindoka kwani alikuwa anasaidia kuisambaratisha CCM na kwa kufanya hivyo anajenga upinzani bila kujua. Ndiyo maana watu wanasema angeendelea kukaa mpaka 2015 ili awe mtaji mzuri wa wapinzani!!!
   
 18. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Makamba jana Usiku alisema kuwa asingekubali kujiuzulu peke yake so alisema wote wajiuzulu live tbc aliwachekesha wote ukumbini akiwemo EL (Sikuwahi muona akicheka) na JK Kama kawaida yake wa kwanza kucheka
   
 19. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  sub waliofanya isikutishe kwa sababu hakuna jipya walilofanya.. Mapigano yaendelee vilevile.. Bado kuna makamba mdogo humo kwenye cc mpya, na huyo mukama naye ni walewale..
   
 20. v

  vivimama Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MI naona hawana jipya hawa jamaa. ni kama wametoa kiziwi wameingiza bubu.
  kazi ipo
   
Loading...