Watanzania ni wakati wa kulilia system sio vyama vya siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania ni wakati wa kulilia system sio vyama vya siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kijana mpolez, Oct 17, 2011.

 1. kijana mpolez

  kijana mpolez Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni wakati wa kulilia systeam sahiv wala sio mda wa kukaa na kuvishangilia,kuchukiana au kuuana kwa sababu ya vyama vya siasa.vyama vyetu vya siasa ni ballot-boxes-paries,yani vyote vinaongea kwa nguvu sana kukosoana na kuharibiana ilihali vishinde kura .leo hii hata ccm ikitoka madarakani naogopa hatutafika popote na yawezekana mambo yakawa magumu na mabaya zaidi kiukweli.so napenda kuwaomba watanzania tupigane kufa na kupona ili tupate system.inchi zilizoendelea ndo maana unakuta vyama vinavogombea ni vichache,hii inatokana na kwamba haki,mahitaji na utaratibu wa kuendesha inchi upo kwenye sytem ya nchi tofauti na tanzania au nchi nyingi za kiafrika ambazo kila chama kikiingia kina system yake ndo maana vita na umasikini hauishi.Tanzania tuoneshe mfano wa kutengeneza system yetu ya kimfano.
   
Loading...