Yusuph makamba v/s nape moses nnauye........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yusuph makamba v/s nape moses nnauye........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Oct 17, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa nikijaribu kufuatilia utendaji wa Yusuph Makamba na Nape Moses Nnauye....hawa watu wanasifa zinazofanana kabisa hizi ni mojawapo
  1. Uropokaji
  2. Kutumia maneno yasiyo na adabu(Uswahili)
  3. Uwezo mdogo wa kuongoza..
  4. Wanaongea kwa kutumia nguvu sana,yaani wanatumia misauti mikubwa kila waongeapo...
  5. Wanafiki,wanauma huku na kupoza huku...
  6. uwezo mdogo wa kujenga hoja na kuitetea....
  7. Kutetea upuuzi bila kuwa na uhakika na waongeacho...
  8. Hasira na jazba wanapoombwa kutoa ufafanuzi kwa baadhi ya mambo..
  9. Wanafanya kazi ya kuibomoa CCM bila kujua au kwa kujua...
  10. Wote ni maji ya kunde(weupe) japo nasikia Nape ni mkorogo japo sina uhakika
  Kwa sifa hizi Nape ni zigo kubwa kwa CCM kuliko hata Makamba,na alipotoka Makamba niliuzunika sana nikaona tumemkosa muuaji wa CCM lol!! Kumbe Mungu katuandalia kijana mwenye uwezo mdogo sana kiakili ili kutusaidia kwenye ukombozi......
   
Loading...