Rushwa,kukosa uzalendo,uvivu wa kufikiri na uzembe unavyo itafuna tanzania.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa,kukosa uzalendo,uvivu wa kufikiri na uzembe unavyo itafuna tanzania..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bigboss, Oct 17, 2011.

 1. b

  bigboss New Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu,ni lazima tuludi nyuma na kuangalia ni wapi tulipokosea.Hata leo hii tukisema tubadili katiba,tukipe chama kingine dola,inawezekana tukaongeza tatizo na tukawa hatujapata suruhisho tunalolitaka kama sio kulitegemea.

  Ni bahati mbaya hayo yote hapo juu hayapo kwa Viongozi wa kitaifa pekee, ni mbegu iliyoshamiri kwa Watanzania takribani wote.Wanaharakati wenzangu,ni mbinu zipi hasa zinazoweza kuleta tija tukaondoa mbegu mbaya hizi zinazoshamiri kila kukicha tukabaki na Tanzania yetu tunayoitaka?...

  Tanzania inayopendwa na kupendeza??
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno
   
Loading...