UDSM campus rename Mlimani Campus to JK Nyerere

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,779
Thursday, 13 October 2011 22:12
By Florence Mugarula

The Citizen Reporter

Dar es Salaam. The University of Dar es Salaam (UDSM) has decided to rename Mlimani Campus Mwalimu JK Nyerere in honour of Tanzania’s first PresidentThe move is a gesture to mark the 50th anniversary of the university, according to the UDSM vice chancellor, Prof Rwekaza Mukandala.


He said yesterday that the decision to rename Mlimani is also in recognition of Mwalimu Nyerere’s contribution towards the higher learning institution’s development. He told journalists in the city that it was the former president who selected the location of the UDSM way back in 1961.

Prof Mukandala said the new name will be officially used from October 21, this year, four days before marking the 50th birthday of the oldest university in the country.

“We are doing this in recognition of Mwalimu Nyerere’s contribution to the academic arena. This campus was known as Mlimani campus and now we have decided to rename it after the Father of the Nation, which brings more meaning to what he did,” said Prof Mukandala.

The university was established on October 25, 1961, two months before the country’s independence, starting with the faculty of law, as an affiliate of the University of London.It was later called the University College Dar es Salaam (UCD), as a constituent college of the University of East Africa (UEA). The UDSM was established in 1970.

Commenting on challenges facing it, Prof Mukandala said it was going to construct seven buildings that will have lecture rooms, offices and laboratories so that students may get quality education in a conducive environment. He said the UDSM would construct hostels capable of providing accommodation to 4,500 students and that their tenders have been already announced.

“We are planning to build hostels to minimize the problem of accommodation at the campus. The construction will be in three phases, and for each we will construct enough hostels to accommodate 1,500 students each,” said Professor Mukandala.

Meanwhile, the president of UDSM graduates, retired Judge Joseph Warioba, asked former UDSM students to attend a dinner which will be prepared by President Jakaya Kikwete next Tuesday to raise funds for the construction of a students’ centre at the campus.He said Uganda’s President Yoweri Museveni, who graduated from the UDSM in 1970, was also assisting to raise funds in his country. He asked members of the public to support the idea.

“I ask all wananchi to contribute to this University; we need to do more for the future of our children and Tanzania at large,” said Judge Warioba.He said the university was facing a lot of challenges, such as lack of enough lecture rooms, workers’ residential houses, students’ hostels and other important infrastructure.

Added Judge Warioba: “ The students’ centre is going to cost at least Sh17 billion. So far we have collected Sh5 billion and we look forward to reach all UDSM graduates through various means so that we succeed in this project.”

It was established that the number of students has increased from 14,000 to more than 20,000. Hostels at the campus accommodate less than 4,000 and the rest live outside it. 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
Wapumbavu wakubwa!!!

Mlimani is historical... tunatakiwa kumuenzi JK Nyerere kwa vitendo, he has already alot of facilities kwa sasa

Anyway ndio namna ya kupitisha siku na kuingia kwenye history

SHOCKING PERFORMANCE FROM RWEKAZA, AND HIS FELLOW WASOMI
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Naomba nitofautiane na mkuu wangu hapo juu kwa kusema kwamba kama kuna Chuo Kikuu kilichostahili kupewa jina la Moja kwa Moja la Mwalimu Nyerere, Chuo Kikuu hicho ni Chuo Cha Dar es Salaam nzima na wala si eti ka-Campus.

Lakini kile Chuo cha Kule Kigamboni kupewa jina hili zito na lenye heshma tele duniani, mmmmmmmmmmhhhhhhh!!!!!!!!!!! Na kwa kuwa jina hili lenye kuenziwa kiuadilifu hivi sasa imepata ka-kipenyo kule Mlimani, hiyo pekee iwe ni alama ya watumishi wake huko kutokuendekeza BIASHARA YA KUGAWA PhD kiholela tu kwa watu wasiostahili.
 

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,144
2,155
kila kitu Nyerere, Nyerere, Nyerere hata mkibadilisha majina yoote hapa TZ na kuyaita Nyerere kama hamumuenzi yeye kwa matendo na kufuata aliyofundisha na kuyaamini ni bure na huu ni unafiki uliokubuhu. Anyways hivi kwa kawaida kabisa mashujaa huadhimishwa siku zao ktk tarehe walizozaliwa how com tunamuenzi Nyerere siku aliyokufa????????
 

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Billion 17 wangezipata toka kwenye tozo ya dowans,,,,wangezipata kwa kupunguza safar,wangezipunguza kwa pesa za EPA,,,wangezipata kwa kupunguza safari za ulaya,,,,
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
naenda kufungua gesti pale kibugumo na ntaiita JK Nyerere, ole wake atakayekuja kuniambia hilo jina halifai kwa gesti
 

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
266
Mawazo hasi fikra hafifu. Hata wakibadili everything wa-rename even the country to JK NYERERE, kama hawapigi vita rushwa, umasikini, maradhi, ukoloni mamboleo, uroho wa madaraka, umangimeza wa viongozi na ku- reinstate Arusha Declaration, Ni BURE.
 

Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,271
1,838
C dhan km mchakato wa kubadilisha jina ulihusisha maoni ya wadau wa UDSM{including students,graduates}.huu ni upuuz m2pu!imetosha jaman!kila k2 bas 2takiita nyerere.ipo cku ht TZ itabadilishwa iitwe nyerere.sion logic kbsaaa.kwan jna la mwl tayar lina2mika pale chuo kigambon,hyo ingetosha.SIASA kitu kibaya sana.MKALIA NDALA cjui km anatumia vzr taaluma yke,nadhan watu wa magamba wanamuendesha kwa remote control.UPUMBAV M2PU.KCHEFCHEF K2PU!
 

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,804
276
tanzania wasomi wake wote ni maskini?????? je waliosoma UDSM wote ni maskin wa kutupwa??? ...... bilionea RONALD PERELMAN WA USA ametoa dola mil.500 akakarabati hall iitwayo Lohan hall na kuomba iitwe Cohen Hall katika warton school ya university of pensylavania.........
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,465
naenda kufungua gesti pale kibugumo na ntaiita JK Nyerere, ole wake atakayekuja kuniambia hilo jina halifai kwa gesti

haitakuwa tatizo iwapo mapato yako yatatumika kulipa kodi na wafanyakazi wako kulipwa mshahara wa tsh.315,000/= kama CDM wanavyokusudia kubadilisha maisha ya watanzania. utakuwa umemuenzi mwalimu kwa maneno na vitendo pia
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hawa jamaa wamekosa kazi ya kufanya.

Kila kitu wanataka kiitwe Nyerere, je! Itasaidia kupunguza shida tulizonazo?.

Ikulu nayo waiite Nyerere.
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
haitakuwa tatizo iwapo mapato yako yatatumika kulipa kodi na wafanyakazi wako kulipwa mshahara wa tsh.315,000/= kama CDM wanavyokusudia kubadilisha maisha ya watanzania. utakuwa umemuenzi mwalimu kwa maneno na vitendo pia
na hata wakija watu na wake za wenzao mie ntakubali tu maadam pesa inaingia, tena sitajali nani anaingia wala kutoka na kama anatumia kinga

na ikianza kulipa , ntafungua nyingine ntaiita jakaya guest house
 

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,424
1,029
Mmesahau kwamba Msimu mwingine wa Unafiki kwa Mwalimu umewadia, kila mwezi Octoba ya Kila Mwaka, ni Msimu wa Unafiki kwa Mwalimu Nyerere.
Wala sitashangaa jina la IKULU ya MAGOGONI Likabadilishwa jina kuitwa IKULU YA MWL NYERERE. Dhambi ya Unafiki kwa Mwalimu bado ipo.
Mungu ibariki Tanzania.
 

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,730
520
Nahofia kuwa kila kitu huenda kikaitwa Nyerere au majina ya viongozi kwenye nchi hii, ifike wakati tuachane kutumia majina ya viongozi kwenye kila kitu; ni heri kitu.
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,465
na hata wakija watu na wake za wenzao mie ntakubali tu maadam pesa inaingia, tena sitajali nani anaingia wala kutoka na kama anatumia kinga

na ikianza kulipa , ntafungua nyingine ntaiita jakaya guest house

watakufukuza mtaani kwa kuwa unafanikisha wizi wa wapenzi wao. bora uchukiwe na serikali ya kikwete kuliko wananchi wa mtaani kwako, serikali ikisha hukumu inasahau lakini wananchi uliowatendea ubaya hawatakusahau na watakutimua mtaani kwao. bora malengo ya guest yako yabaki kama inavyofahamika kwamba ni NYUMBA YA WAGENI na sio NYUMBA YA WAZINZI.

Hiyo ya pili ukiita Jakaya guest, itakubalika kwani mtu mwenyewe ndo tabia yake na yeye atakuja kwako kwa kuwa utakuwa umempaisha na kumpa hadhi ya kipekee kabisa. Atakuwa anawapigia dada zetu, "TUKUTANE JAKAYA GUEST"
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,465
Mmesahau kwamba Msimu mwingine wa Unafiki kwa Mwalimu umewadia, kila mwezi Octoba ya Kila Mwaka, ni Msimu wa Unafiki kwa Mwalimu Nyerere.
Wala sitashangaa jina la IKULU ya MAGOGONI Likabadilishwa jina kuitwa IKULU YA MWL NYERERE. Dhambi ya Unafiki kwa Mwalimu bado ipo.
.Mungu ibariki Tanzania

Mungu aibariki Tanzania kwa unafiki? nadhani ulikusudia kusema ainusuru/airehemu kwa dhambi ya unafiki kama ulivyosema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom