Diwani kwa hilo utakuwa mfano wa kuigwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani kwa hilo utakuwa mfano wa kuigwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PAMBA1, Oct 17, 2011.

 1. PAMBA1

  PAMBA1 Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  diwani wa kata ya sinza mr simple amesema kuanzia j mosi ya wiki hii ataanza kupanda miti katika maeneo yote ya wazi ambayo hayajavamiwa mpaka sasa. akiongea na wazee wa sinza pamoja na vijana na wadau mbali mbali alisema yapo maeneo ambayo tunaweza kuonyesha mfano kwa kuyapanda miti pamoja na kuweka mabembea kwa ajili ya kuyalinda ili yazivyamiwe,alisema tayari keshaanza kukusanya miti kutoka kwa watu mbalimbali na mpaka sasa amekusanya miti mia moja ipo pale ofisini kwake na amewaomba wananchi wote wa kata ya sinza bila kujari itikadi ya vyama waunge mkono zoezi hilo kwa kuwa bustani hizo zikishamili zitatumika kwa watu wote bila kujari itikadi ya vyama vyao.nawaomba wazee wangu na vijana wezangu tusaidiane kupanda miti hii pamoja kama kunamtu anaweza kutusaidia kununua miti basi atununulie miashoki na mwarobaini alete pale ofisini kwangu,alisema diwani.baada ya hapo watu wote walimpongeza kwa kuwaita na kuwaeleza zamila yake ya kuyalinda maeneo ya wazi pia tukamwahidi tutampatia ushilikiano wa kutosha na watu wakaonyesha mfano wakaanza kuchangi miti kwa kuahidi watapeleka ofisini kwake.
   
Loading...