JK amekaa nchini miaka 4 ndani ya miaka 6 ya uongozi wake

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,719
1,440
Takwimu sahihi za Jamii Forum ambazo hata mchambuzi /mwandishi mahiri Mbwambo (katika makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema) amezitumia kuwa safari za JK nje ya nchi zimefikia 317..
Ukifanya mahesabu ya wastani wa siku 2 kila safari moja utapata siku 634 ambazo ni takribani miaka miwili.Ukifanya wastani wa Tsh 200,000,000 Tsh kama gharama kwa kila safari utapata 124,800,000,000/- .Tsh
Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwa mwandishi mkongwe na makini kama Mbwambo nimefarijika kuona anayakubali maandiko ya jf!
 
View attachment 39104miaka 2 ilikuwa 50 cent ft jk in the club.

Go shawty, it's your birthday
We gonna party like it's your birthday
We gon' sip Bacardi like it's your birthday
And you know we don't give a ****, it's not your birthday

You can find me in the club, bottle full of bub
Look mami, I got the X if you into takin' drugs
I'm into havin' sex, I ain't into makin' love
So come gimme a hug, if you're into gettin' rubbed

When I pull up out front, you see the Benz on dubs
When I roll 20 deep, it's 20 knives in the club
Niggaz heard I **** with Dre, now they wanna show me love
When you sell like Eminem, and the hoes, they wanna ****
 
Habari nyingi nyeti zinaanzia Jamii forum ,ila ni waandishi wachache sana wanaokubali hilo na kuitaja/kuipa heshima yake JF kwa wao kutoa habari humu kama alivyofanya Mbwambo
Kwa mwandishi mkongwe na makini kama Mbwambo nimefarijika kuona anayakubali maandiko ya jf!
 
Hatuna raisi tuna mtalii,jamaa nadhani moja ya plan yake ni kumaliza hii nchi mpaka 2014........
 
Inabidi hatua za haraka zichukuliwe kwani vijana na kizazi kijacho ndio tutakaopata gharika..Mapinduzi yataletwa na sisi vijana wenyewe tukikubali kushirikia kutokomeza huu udhalimu wa Magamba na maswaiba wake
Hatuna raisi tuna mtalii,jamaa nadhani moja ya plan yake ni kumaliza hii nchi mpaka 2014........
 
Takwimu sahihi za Jamii Forum ambazo hata mchambuzi /mwandishi mahiri Mbwambo (katika makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema) amezitumia kuwa safari za JK nje ya nchi zimefikia 317..
Ukifanya mahesabu ya wastani wa siku 2 kila safari moja utapata siku 634 ambazo ni takribani miaka miwili.Ukifanya wastani wa Tsh 200,000,000 Tsh kama gharama kwa kila safari utapata 124,800,000,000/- .Tsh
Mungu Ibariki Tanzania

natamani mabingwa kukanusha IKULU, wakanushe na waje na twakimu zao!
 
Takwimu sahihi za Jamii Forum ambazo hata mchambuzi /mwandishi mahiri Mbwambo (katika makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema) amezitumia kuwa safari za JK nje ya nchi zimefikia 317..
Ukifanya mahesabu ya wastani wa siku 2 kila safari moja utapata siku 634 ambazo ni takribani miaka miwili.Ukifanya wastani wa Tsh 200,000,000 Tsh kama gharama kwa kila safari utapata 124,800,000,000/- .Tsh
Mungu Ibariki Tanzania
gharama yote hyo,ila anakwenda kuhemea jamani,
 
Takwimu sahihi za Jamii Forum ambazo hata mchambuzi /mwandishi mahiri Mbwambo (katika makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema) amezitumia kuwa safari za JK nje ya nchi zimefikia 317..
Ukifanya mahesabu ya wastani wa siku 2 kila safari moja utapata siku 634 ambazo ni takribani miaka miwili.Ukifanya wastani wa Tsh 200,000,000 Tsh kama gharama kwa kila safari utapata 124,800,000,000/- .Tsh
Mungu Ibariki Tanzania

Wastani wa siku mbili kwa safari umempendelea! Sometimes anakaa hata wiki 2.
Sijamuona huko Butihama, isije akawa ametokomea kimyakimya! Maana kaona siku hizi mnatunza kumbukumbu za safari zake
 
Ulishawahi kumwona jk akienda nje ya nchi anakaa siku mbili. Umesahau ile ya juzijuzi alipiga cku 9 mkuu?
 
Hii inatisha!
Ila kama gharama kwa kila safari ni Tsh. 200,000,000 na jumla ya safari ni 317, mtalii katumia Tsh. 63,400,000,000! na kama ni gharama kwa kila siku, ina maana kwa siku 634 ni Tsh. 126,800,000,000! Hii ni Dowans nyingine!Takwimu sahihi za Jamii Forum ambazo hata mchambuzi /mwandishi mahiri Mbwambo (katika makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema) amezitumia kuwa safari za JK nje ya nchi zimefikia 317..

Back
Top Bottom